Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ajax hali ni mbaya. Goli la 7 limekataliwa
Screenshot_2024-04-07-17-14-39-042_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 
Kai anatoka Bayer Leverkusen ana 6f 2in (187cm) akiwa na umri wa 21y.

Sasa hivi ana 6f 4f (193cm), umri 24y
Sisemi tu kwa kuwa nimesema, that's the physiology of bone growth. So sijui hizo details unazitoa wapi but ninachojua normally mifupa (epiphysial plates) inaunga mtu anapofika miaka 18 so ukuaji kwa urefu una sieze hapo, otherwise kuwe na delay ya bone fusion.
 
Halafu mtu anakwambia Arsenal ana game ngumu, ukimuuliza anakutajia Man Utd.

Hivi mashabiki wa Man Utd wanawezaje kushabikia timu inacheza kama vile?
 
Hapa sioni Wa kumsimamisha huyu Juha,
Merseyside derby sikuhizi hamna kitu,

Leo Arsenal na City Maadui wakubwa wa Man U tulikua nyuma yenu, ila mnarusha mabukta yenu tuu kama kaniki, pumbav.

Sasa subiri tukutana nanyie, tutaendeleza atakapo ishia leo.

Alivyo mpuuzi leo hata ile GD anaweza aisawazishe huyu.
 
Usimchukulie poa Liver. Mie ndo namuogopa yupo juu kwa point. Huyu Man city anakazi ya kutufukuza. Fikiria wote tukishinda mechi zetu.
Kuna siku niliandika kwamba ni swala la muda ila hizi bahati na kubebwa zitafade out ilikua liva wamefululiza kupata late winners na hapo hapo late winner ya mwisho nahisi ilikua na utata.

Ni sawa zaidi kupambana na huyu kuliko City. City anaweza bebwa goli moja ila akashinda nne, hata hilo moja likitolewa bado anakua kashinda.
 
Yaa

Yaani yule kai angekuwa na miguu ya trossard tu, angekuwa hatari mnoo, kai kapoa saana, kai akiwa na mpira hayupo direct sana kwenye goli, mali ndain ya box ana turn analipa goli mgongo.
Kweli aisee, utafikiri yeye hajui kuwa kushambulia goli ni sehemu ya mchezo.
 
Back
Top Bottom