Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

“Our House”
“Full House”
“All Red”

New Arsenal banner across the entrance of the Emirates stadium, for the game against Bayern tonight[emoji119]
20240409_082418.jpg
 
Leo ni quality vs experience

Shit is going down

10 years waiting for a chance at CL

And once we in it we are being presented with Bayern.

Natafuta buku tano ninunue bando niangalie mechi bila stress
 
Nafikiri Tomiyasu ni msharp zaidi na msumbufu kwa washambuliaji watundu na wasumbufu aina ya kina Salah. Kiwior yupo disciplined ila simuoni kama msumbufu/aggressive.

Nafikiri hii aggression ya Tomi, pamoja na ambidexterity (anatumia miguu yote vizuri) yake itamsaidia katika kutoa pasi za karibu na mbali kwa haraka bila kuhitaji kujiset kwa mguu mmoja, kujitoa katika hatari akibanwa, na kuanzisha mashambulizi. Kiwior alivyokuja, nilipenda kuona ana utaalam mzuri wa long balls ila sijaona akiutumia sana utaalam huo akiwa Arsenal. Pia anategemea sana mguu wake wa kushoto.

Mimi ningemuanzisha Tomiyasu, kama yuko fit kabisa, kwa sababu hizo.
 
🔥🔥 Peter Dury in May 2024 will be like ; Mikel's boys have done it. This was evidence from the start of the season when Arteta brought in Timber to add wood to the fire, now they can eat some White Rice.

Thomas and company can now Partey like Jesus is coming tomorrow. Arsenal are the Champion of UEFA champions league and Premier League combined.

Half american, Selikavu, Manyanza, hamis77, makaveli10, Castr

vipi hiyo wazee😀🤒
FB_IMG_17126499433813228.jpg
 
🔥🔥 Peter Dury in May 2024 will be like ; Mikel's boys have done it. This was evidence from the start of the season when Arteta brought in Timber to add wood to the fire, now they can eat some White Rice.

Thomas and company can now Partey like Jesus is coming tomorrow. Arsenal are the Champion of UEFA champions league and Premier League combined.

vipi hiyo wazee😀🤒
View attachment 2958553
Imekaa vizuri sana hii 😁😁
 
Acha utani Hamisi. Mechi ya usiku inakufanya ukosekane kazini? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hii kamba bhana.
Kweli kaka ,nimejikuta nimeamka saa 2 na nusu , napigiwa simu gari inanisubiri ,nikawaambia wasepe ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom