hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Game yetu yakufa na kupona ni vs Spurs ,tuna uwezo kabisa kuwapiga ,but watakaza sana , binafsi naomba city na Liverpool wasare mechi moja tu,View attachment 2957810
Siku zote fixture difficulty inategemea timu unayocheza nayo iko home/away, kwa maana home advantage inachukua sehemu kubwa kwenye kusort fixture difficulty regardless na uwezo wa timu pinzani. Nikisema hivyo namaanisha kwa mfano tulipokutana na Liverpool home na tulipoenda ugenini kwa Liverpool, ugumu ulikuwa tofauti coz mwanzo Arsenal v Liverpool ilikua mechi ngumu kwa Liverpool ila mechi ya pili Liverpool v Arsenal mechi ilikua ngumu kwa Arsenal. Same applies kwa games mfano Arsenal v City/City v Arsenal.
Sasa ukiangalia hapo juu, kati ya mechi zilizobaki Liverpool ana mechi 4 away na 3 home na hizo mechi anazocheza home sio nyepesi (Spurs, Wolves), same kwa Arsenal mechi za home pia sio nyepesi (Chelsea) japo tumebaki na mechi 4 home na 3 away tofauti na Liverpool. Hivyo home advantage itatufavor (Liverpool & Arsenal) kwa kiasi tuchezapo nyumbani.
Tukumbuke mechi zetu za ugenini pia zimeshiba!
City amebakiwa na mechi 4 home na 3 away, home opponents wake sio wazuri sana so mategemeo labda adondoshe points akiwa away (vs Spurs, vs Brighton).
Then kuna huyu decisive opponent ambae tutacheza nae wote, Spurs. Hii game ndio ngumu kuliko zote coz ni wapo tayari kupoteza points kwa City na Liverpool lakini sio kwa rival wao Arsenal. Hivyo hii ndio vita yetu kubwa.
Finally niseme tu, sihofii uwepo wa Liverpool pale juu ila atakapokaa City juu kwa tofauti ya point 1 tu basi ndio bye bye hatumpati tena, na hiyo ni kulingana na fixtures zake zilizobaki maana hata tofauti ya magoli haitatusaidia.
Kama tutampiga spurs ,tuna asilimia 98 ya kubeba ubingwa ,
Manjesta ni fixture ambayo siiwazii ,hata Liverpool wanaumia sana siokwamba manjesta walikuwa Bora ,ni Liverpool uzembe wao
Fixture za home tuna asilimia kubwa kushinda zote,