Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Borussia, Barca na PSG ni nafuu kwa hapa
Screenshot_2024-03-14-10-11-32-141_com.reddit.frontpage-edit.jpg
 
Mmhhh tembo ni tembo hata akikonda hawi sisimizi
Ukitaka kuitwa one of the best lazima upambane na hao the best🤠🤠..mm binafsi nataka tukutane na Bayern...kile kitakuwa kipimo sahihi sana...Hawa kina Atletico sijui Dortmund tutawaonea kwakwli
 
Ninyi Kenge mshaanza kujiita mabingwa wa uefa si ndio ?
Mnadhani UEFA ni kombe la mbuzi ?
Na ushindi wa papatu papatu dhidi ya Porto , false hopers mtaumia Sana , ngoja mkutane na vijeba hatua inayofuata , naomba mkutane na Madrid au Atletico ,mfirimbwe kwanza mpaka akili ziwarudi

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Arsenal fainal tunacheza

Porto wamejaa Latin America wengi sana ,wanacheza uhuni mwingi, undava undava halafu ni vijana

Jana zimechezwa faulo karibu 20 , ikabidi Arsenal twende nao hivo hivo ,

Tofauti Yao na inter Milan wanacheza low block lakin wazee ni wengi ,

For me tupewe Barca, BVB ,Psg au Madrid
Kharamu football ile ya Porto ndo kama ilivyokua na Game na Newcastle ile waliopewa goli , ndo game zinawafanya kina Ben White, Saliba, GM6 na King Kai kua Wanyama na wakatili kabisa uwanjani
 
Back
Top Bottom