Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Nipo mkuu ni mambo tu yalikua mengi hapa kati , tunashukuru mungu kwa uzima na afya.Mkuu nimefuruahi sana kuona post yako humu. Nilianza kupata wasiwasi juu ya hali yako.
Pia nafurahi jinsi nyie mijusi milia mlivyokuja kuwa ngoma ya kijiji. Kila mtu anajipigia tu.
Nimerudi mkuu nilimiss sana hopes za humu pamoja na kuwatazama false hopers , nimerudi tumalize hii last chapter ya kitabu hiki cha ma false hopers kama mnavyojua wenyewe " ALL or NOTHING" nadhani unajua mwenywe huwa mnatoka na kipi kati ya hayo mawili .
Kuhusu sisi kupigwa nadhani ni ndani ya process ya mabadiliko na nyingine ni majeruhi ila bado Geordies tunasonga hatuna wasiwasi.