Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukumbushane

20240315_142526.jpg
 
Ni suala la muda tu ,False hopers kama wewe mtakimbia hiki kijiwe Chenu ,
Ninyi huwa hamnipi shida kabisa , plastic fans WA Arsenyetoz
Ngoja tu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kama ww hujakimbia kule kwa wavuta bangi wenu basi na sisi hmu tupo sana.... Chelkenge hamtusumbui...tunaomba tukimaliza na City tuje na nyie maana naona mechi ile waliipeperusha kienyejienyeji...tuwakande kwanza kidomodomo kiishe
 
naam hii ndio ligi ya mabingwa huu upande wa kina bayern/real/man c/asenal ndio unaonekana utatoa bingwa...binafsi nawaona siti wakipiga mtu kipigo cha mbwa koo halafu sasa huku bayern na asenali hii ngoma atakama arteta atatoboa akikutana na siti shughuli inakuwa imeshaisha 😎
 
Back
Top Bottom