Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG-20240313-WA0039.jpg
 
haya ndio makombe yenu mnayojivuniaga. Haya mengine waachie wenye uwezo nayo.

Msimu huu mimi na wewe wote tunatoka patupu. Nitakukumbusha kabla hujawakimbia wafuasi wako.
Patupu sio🤠🤠...si mpo FA cup ndugu zetu...au mshajukatia tamaa mnaona mnapoteza mda kule
 
Hii timu itatoka mikono mitupu kama kawaida yenu
Shangazi inatosha🤠🤠...muda wa kufanya majukumu ya Nyumbani saahiz...hii mishale mnayotutwanga ni kwasababu ya ile nafasi pale juu au kuna lingine...tutarudi kuwa wa 10 kabisa Ili msitufatefate tena....maana wte sasahv mmekusanyana...Chelkenge...Manunu na Liverkuku mnashinda hmu...hamtaki kabisa kuona tukipumua🤠🤠
 
Shangazi inatosha...muda wa kufanya majukumu ya Nyumbani saahiz...hii mishale mnayotutwanga ni kwasababu ya ile nafasi pale juu au kuna lingine...tutarudi kuwa wa 10 kabisa Ili msitufatefate tena....maana wte sasahv mmekusanyana...Chelkenge...Manunu na Liverkuku mnashinda hmu...hamtaki kabisa kuona tukipumua
Shangazi yupo busy sana na hii arsenal NDOO kuliko mume wake.
 
Back
Top Bottom