Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ndo the only one
The Premier League top three against each other this season:

🥇 Arsenal - 2W 1D 0L
🥈 Liverpool - 0W 3D 1L
🥉 Man City - 0W 2D 1L

Arsenal are the only team with a win and the only one without a loss.

The Etihad awaits… #afc
FB_IMG_17102291757768028.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Luton.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
Brighton yupi au ndo yule tuliempiga msako wa mbwa mwizi had kocha wao akasema hajawahi kutan na total dominance ya hali ile akiwa brighton[emoji23][emoji23]
 
Shida ya Arsenyo ni kushikilia bomba kwenye mechi za presha, msimu ulioisha mechi za mwisho za ligi mlikua mnapoteza kwa timu ambazo hata hufikirii kua hii mechi Arsenyau atapigika.
Kwa uzoefu wangu kati hizo mechi 7 Arsenyo akishapigika mechi moja basi tegemea draw au kupigika kwa mechi zinazofata.
Msimu uliosha zimebaki mechi 8 kumaliza ligi Arsenyo alikua anaongoza ligi kwa points 8 dhidi ya City aliekua nafasi ya pili, inabaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 dhidi yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2931190
Kama hujaona utofauti ya arsenal wa msimu uliopita na msimu huu inabidi ule vyakula vitakavyosaidia kuongeza akili ya utambuzi na uchanganuzi wa mambo..
Msimu ulioisha timu ililoss momentum game za mwisho lakini sasahiv timu imegain momentum game za mwisho.
Msimu ulioisha timu zilizoweza kutudominate zilishinda au kutoa sare dhidi yetu msimu huu hakuna mjinga anaelogwa kutudominate wengi waliopata walau sare msimu huu ni msaada wa marefa wa VAR kwa magoli ya mipira iliyokwisha toka
 
Liverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.

Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.

Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
View attachment 2931579
Umeeleza kipuuzi sana asee yaan vila ampe tough game arsenal pekee wakt anamechi na timu zote zilizo juu yake na anahitahi walau kumpiku spurs kuitafuta top4 sasa nikwambie tu villa anaweza mshikilia mtu yetote yule anaemfata hasa home kwake
 
Hyu anatapatapa...sisi anatupangia kabisa atakayetufunga halafu yy kajipangia hakuna wa kumzuia🤠🤠..hzi akili sijui za wapi
 
Leo zitapigwa pasi 900+ na chuma 3 kambani.
 
Arteta amefanya kazi kubwa sana kuijenga timu yetu ya sasa.

Kujenga a two consecutive seasons competing team kwenye EPL sio kazi ndogo. Wanajaribu kumfananisha na akina Ole, Moyes, Zebri, Ange, Ten hag n.k kiukweli hawako level yake. This guy had a plan hata kabla hajawa kocha. Alipoipata ajira Arsenal akaianika wazi (Refer to previous interviews pamoja na All or Nothing series).

Huyu jamaa ninampa maua yangu regardless of the trophies he has to deliver.
 
Kama hujaona utofauti ya arsenal wa msimu uliopita na msimu huu inabidi ule vyakula vitakavyosaidia kuongeza akili ya utambuzi na uchanganuzi wa mambo..
Msimu ulioisha timu ililoss momentum game za mwisho lakini sasahiv timu imegain momentum game za mwisho.
Msimu ulioisha timu zilizoweza kutudominate zilishinda au kutoa sare dhidi yetu msimu huu hakuna mjinga anaelogwa kutudominate wengi waliopata walau sare msimu huu ni msaada wa marefa wa VAR kwa magoli ya mipira iliyokwisha toka
"lakini sasahiv timu imegain momentum game za mwisho"

Game za mwisho zipi unazozizungumzia wewe?
Mmegain momentum ipi kweny hizo game za mwisho wakati hizo game za mwisho bado hazijaanza kuchezwa?

Tunaposema game za mwisho tunamaanisha zile game 10 za kumaliza ligi ambazo mtaanza nazo kwa kucheza na Mancity.
Msimu ulioisha hizo game 10 za mwisho ndio mlianza kudondosha points mfululizo mpaka City akawapiga bao.
 
[emoji599] Chelsea are ready to sell 15 players this summer as they admit defeat in their disastrous transfer policy.

Tunaenda kumchukua Mudryk kwa mkopo
Atamreplace nani sasa? 😂
 
"lakini sasahiv timu imegain momentum game za mwisho"

Game za mwisho zipi unazozizungumzia wewe?
Mmegain momentum ipi kweny hizo game za mwisho wakati hizo game za mwisho bado hazijaanza kuchezwa?

Tunaposema game za mwisho tunamaanisha zile game 10 za kumaliza ligi ambazo mtaanza nazo kwa kucheza na Mancity.
Msimu ulioisha hizo game 10 mwisho ndio mlianza kudondosha points mfululizo mpaka City akawapiga bao.
Suffering from success
 
ee bwana kweli the gunner ni sooo yani blackburn kapelekwa mchakamchaka kaa watoto wadogo kisha tukawafundisha soka tukawapiga 6-2 almanusra tuwapige wiki(7)

sasa hapo ligi ndio imeenza tunachukua pointi zote 12 ktk msimu huu wa sikukuu kisha mwenzi wa 2 2007 tutakuwa pale kileleni tunalinyemelea lile taji kubwa ambalo kwa sasa liko kibahati 2 kwa watoto wadogo chelsea ambao walikuwa na takribani miaka 50 hawajui utamu wa ubingwaaaaa

x-mas njema hususani kwa fans wa gunners kwani bao sita ni soo hii inamaanisha tumefunga na mabao ya mechi inayokujaaaaaaa
Kumbe hamjaanza leo kudanganya asee
 
Wakuu Leo itabidi aanze Trossard left Wing ,tuko na broo wake Clement Trossard(ref) ,Kai false 9, saka Right wing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom