Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi za mwisho za ligi msimu ulioisha hili jukwaa lilikua limejaa matusi ya wenyewe kwa wenyewe, kocha, wachezaji na timu yote kwa jumla, niamini mimi msimu huu kwenye mechi za mwisho ndio itakua maradufu zaidi, panapo uzima kama kawaida yangu mimi nitakua humu kuwasuluhisha na kuwakumbusha kua nyinyi nyote ni ndugu sio busara kutukanana humu
Msimu ulioisha katika kipindi kama hiki tulikua tunamshauri ndugu yetu verifaidi yuza kua tunawaombea mema mchukue ndoo ila bado mna mechi ngumu msijipe sana false hopes maana Arsenyo ni Arsenyo tu, muda wowote inaweza kuwaletea simanzi akawa anatujibu shit na mbwembwe kibao, ilipofika mwisho wa msimu tukawa tunamuona na yeye tayari ameshaingia kwenye mfumo
Jamani sisi kazi yetu ni kuwakumbusha tu kwa screen shot kama hizi. View attachment 2931209View attachment 2931223View attachment 2931229View attachment 2931237
Ww weka mapichapicha yte ila kipigo kwenu kipo palepale...labda kabla hatujakutana mbadilishe kocha...Manunu na Chelkenge ni timu ambazo hazijui zinataka nn.... Brighton hawana mfumo mzuri wa ulinzi...Spurs mwaka jana walikutana na kitu kizito pale kwao hvyo wanajua wakileta ujinga nn kitawapata...mechi ngumu ni City tu...Hawa inatakiwa tucheze kama tulivyocheza nao mechi mbili za nyuma walau tunaweza tukawadunda
 
Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chunguView attachment 2930717
Tukishachukua ndoo tu, tutaanza updates na news za usajiri
Na events za pre-season

Kuwa na amani nyumbu
 
Sio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Leeds.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
Uchawi at highest level
 
Kuna mechi za kuhesabia ,mara kumi Luton nawahofia sio manjesta ambao hata pass 5 kwao mtihani, timu ambayo kila dakika wanakupa nafasi uwashambulie

Chelsea Hawa wanakuja Emirates

Mechi ngumu ni Etihad sababu tu labda wote tupo kwenye mbio za ubingwa, but ni mechi ambayo naenda nikiwa na confidence kubwa ,

Astonvilla anakuja Emirates
 
Nawashangaa sana watu wanaotaja Aston Villa...kwa kipi hasa aisee🤠🤠🤠...mara kumi wangesema Newcastle maana wao wanakaba sana na kucheza Counter...Villa wao hawajui kupaki wao wanashambulia Sasa watu kama hao sisi ndo tunawapenda maana mashimo nyuma wanaacha ya kutosha
 
Liverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.

Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.

Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
Arsenali.jpeg
 
Kuna mechi za kuhesabia ,mara kumi Luton nawahofia sio manjesta ambao hata pass 5 kwao mtihani, timu ambayo kila dakika wanakupa nafasi uwashambulie

Chelsea Hawa wanakuja Emirates

Mechi ngumu ni Etihad sababu tu labda wote tupo kwenye mbio za ubingwa, but ni mechi ambayo naenda nikiwa na confidence kubwa ,

Astonvilla anakuja Emirates
Luton anakuja kwetu pia
 
Nawashangaa sana watu wanaotaja Aston Villa...kwa kipi hasa aisee...mara kumi wangesema Newcastle maana wao wanakaba sana na kucheza Counter...Villa wao hawajui kupaki wao wanashambulia Sasa watu kama hao sisi ndo tunawapenda maana mashimo nyuma wanaacha ya kutosha
Kwa Hizo hizo dharau zenu msimu ulioisha kwenye mechi 10 za mwisho za ligi mlipoteza mechi 6 kizembe tu.

Liverpool 2 - 2 Arsenal
Westham 2 - 2 Arsenal
Arsenal 3 - 3 Southampton
Mancity 4 - 1 Arsenal
Arsenal 0 - 3 Brighton
N.Forest 1 - 0 Arsenal

Unawania ubingwa na Mancity halafu kwenye mechi 10 za mwisho unapoteza points 12
 
Liverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.

Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.

Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
View attachment 2931579
Mungu hakunyimi vyote, hawa ndugu zetu wamenyimwa makombe lakini wamepewa mdomo
tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Naona hii Insha yako imejaa maneno ngumu...Sasa wacha nikueleweshe Mr Liverpool... Tottenham anadundwa 2 pale kwao...Aston villa anakula kono la nyani🤠🤠...Manunu kwakuwa ni wajeuri 3 zitawatosha.... Brighton sio shida yetu....mechi ngumu ni Man City tu...na tukimuotea safari hii msahau ubingwa maana mentally itatu boost kwlikwli kwa hao wengine tutakaokutana nao kuwafanyia unyama...nyny jana mlibugi sana kutoa draw...mwsho wa msimu ile draw mtaikumbuka
 
Liverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.

Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.

Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
View attachment 2931579
Halafu mnatuhesabia sisi tuna mechi ngumu nyny mnajitoa akili kwa kuweka hao United na Everton tu kuwa ndo wabishi...Aston villa mnaotutishia sisi na nyie waungwana si tunaona mnawafata kwao kabisa....na West Ham mkikaa vbaya mnaenda kwao mnaweza mkalambwa...kwnyi kikubwa tusihesabiane mechi...Kila mtu ashinde zake ikifika May tuone nani ananyanyua makwapa...ize tu
 
Totenham hujamtaja
 
Hua nacheka mtu anapotoka huko anapotoka kisha anapangia watu maisha
 
Totenham hujamtaja
Wao wanaamini mechi zte za Nyumbani kwao wanashinda🤠🤠...halafu sisi za Nyumbani kwetu wanatupangia zipo tutadundwa...Hawa waungwana Hawa🤠🤠...natamani kwny hzi zilizobaki za kwetu na wao wangekuepo tucheze nao tena tuwatwange maana Wana mdomomdomo sana hawa
 
Wao wanaamini mechi zte za Nyumbani kwao wanashinda...halafu sisi za Nyumbani kwetu wanatupangia zipo tutadundwa...Hawa waungwana Hawa...natamani kwny hzi zilizobaki za kwetu na wao wangekuepo tucheze nao tena tuwatwange maana Wana mdomomdomo sana hawa
Nyinyi hua inajulika kabisa na vivid examples zipo za kutosha.
Hizi hapa ni mechi zenu 10 za mwisho za ligi msimu ulioisha 2022/2023 ambapo mliongoza ligi kwa siku 258 halafu hizi mechi za mwisho zikawatoa kwenye reli.
1710168619221.jpg
 
Back
Top Bottom