Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna mechi ngumu na za kinoko sana

City
Kenge
Sp..sy
Nyumbu

Villa
Brighton
Wolves

Bournemouth
Everton
Luton
Relax. Enjoy the moment bro.
Kumbuka hata Liverpool na City nao wana game ngumu kama zetu.
IMG_0007.jpeg
 
Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2930717
Una roho ya kwann sana mkuu🤠🤠...tumepanda pale juu kwa jitihada zetu bdo mnatusakama hivi....shindeni na nyny mtufate tulipo mbona ni rahisi sana
 
Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2930717
Hawa Kenge wataleta sana vurugu humu , ni bora Aston villa ashinde ubingwa kuliko hawa mbuzi
Na ukame wao wa karne kutobeba makombe ,watapanua madomo yao sana
Ila mi nawajua hawa , hawa Arsenyetoz ni fungu la kukosa
Hawa pimbi labda wabebe vibuyu na si kombe

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2930717
Na bado.
 
Arsenal ana game nne ngumu city, spurs,nyumbu na kenge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Luton.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
 
Usilolijua au labda umesahau, Arsenal hajapoteza hata mechi moja kwa timu kubwa msimu huu
Shida ya Arsenyo ni kushikilia bomba kwenye mechi za presha, msimu ulioisha mechi za mwisho za ligi mlikua mnapoteza kwa timu ambazo hata hufikirii kua hii mechi Arsenyau atapigika.
Kwa uzoefu wangu kati hizo mechi 7 Arsenyo akishapigika mechi moja basi tegemea draw au kupigika kwa mechi zinazofata.
Msimu uliosha zimebaki mechi 8 kumaliza ligi Arsenyo alikua anaongoza ligi kwa points 8 dhidi ya City aliekua nafasi ya pili, inabaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 dhidi yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1710144149218.jpg
 
Porto kwenye swala la 'duels' kila wakiguswa ilikua ni kujidondosha kupooza mchezo na kupoteza mda ni the same na kilichotokea jana
Ila wajue tu iyo jumanne ni kuanzia 4+ goals
Wanasema ndio mechi ilichezwa dakika chache sana, Kona zote walikuwa wanajidondosha ,refa anawapa faulo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Leeds.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
Chelsea , manjesta,spurs sio mechi ngumu kwa Arsenal

Unamuhesabia manjesta asiyeweza kupiga hata pass 5, Chelsea anakuja home , Spurs hatutushi,

Brighton ana injury nyingi na dawa yake tulishaipata muda ,

Mechi ngumu ni vs man city tu
 
Nyumbu na kenge toa....hao wanakula 3+...gemu ngumu hapo ni Spurs na City tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mechi za mwisho za ligi msimu ulioisha hili jukwaa lilikua limejaa matusi ya wenyewe kwa wenyewe, kocha, wachezaji na timu yote kwa jumla, niamini mimi msimu huu kwenye mechi za mwisho ndio itakua maradufu zaidi, panapo uzima kama kawaida yangu mimi nitakua humu kuwasuluhisha na kuwakumbusha kua nyinyi nyote ni ndugu sio busara kutukanana humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Msimu ulioisha katika kipindi kama hiki tulikua tunamshauri ndugu yetu verifaidi yuza kua tunawaombea mema mchukue ndoo ila bado mna mechi ngumu msijipe sana false hopes maana Arsenyo ni Arsenyo tu, muda wowote inaweza kuwaletea simanzi akawa anatujibu shit na mbwembwe kibao, ilipofika mwisho wa msimu tukawa tunamuona na yeye tayari ameshaingia kwenye mfumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani sisi kazi yetu ni kuwakumbusha tu kwa screenshots kama hizi.
Screenshot_20230408_223241.jpg
Screenshot_20230422-122857.jpg
Screenshot_20230422-122939.jpg
tapatalk_-1970943280_512x640.jpg
 
Chelsea , manjesta,spurs sio mechi ngumu kwa Arsenal

Unamuhesabia manjesta asiyeweza kupiga hata pass 5, Chelsea anakuja home , Spurs hatutushi,

Brighton ana injury nyingi na dawa yake tulishaipata muda ,

Mechi ngumu ni vs man city tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli banaaa, tayari nimesha screenshot kwa matumizi ya baadae ya ofisi, kikubwa Masingeli tunakuomba usilikimbie tu hili jukwaa pendwa wakati ligi inaelekea ukingoni[emoji23][emoji23][emoji23]
1710147293755.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mechi za mwisho za ligi msimu ulioisha hili jukwaa lilikua limejaa matusi ya wenyewe kwa wenyewe, kocha, wachezaji na timu yote kwa jumla, niamini mimi msimu huu kwenye mechi za mwisho ndio itakua maradufu zaidi, panapo uzima kama kawaida yangu mimi nitakua humu kuwasuluhisha na kuwakumbusha kua nyinyi nyote ni ndugu sio busara kutukanana humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Msimu ulioisha katika kipindi kama hiki tulikua tunamshauri ndugu yetu verifaidi yuza kua tunawaombea mema mchukue ndoo ila bado mna mechi ngumu msijipe sana false hopes maana Arsenyo ni Arsenyo tu, muda wowote inaweza kuwaletea simanzi akawa anatujibu shit na mbwembwe kibao, ilipofika mwisho wa msimu tukawa tunamuona na yeye tayari ameshaingia kwenye mfumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani sisi kazi yetu ni kuwakumbusha tu kwa screen shot kama hizi. View attachment 2931209View attachment 2931223View attachment 2931229View attachment 2931237
Ww weka mapichapicha yte ila kipigo kwenu kipo palepale...labda kabla hatujakutana mbadilishe kocha...Manunu na Chelkenge ni timu ambazo hazijui zinataka nn.... Brighton hawana mfumo mzuri wa ulinzi...Spurs mwaka jana walikutana na kitu kizito pale kwao hvyo wanajua wakileta ujinga nn kitawapata...mechi ngumu ni City tu...Hawa inatakiwa tucheze kama tulivyocheza nao mechi mbili za nyuma walau tunaweza tukawadunda
 
Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2930717
Tukishachukua ndoo tu, tutaanza updates na news za usajiri
Na events za pre-season

Kuwa na amani nyumbu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Leeds.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
Uchawi at highest level[emoji1][emoji1]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom