Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aliyepewa asilimia ndogo na wanaojua mpira mashabiki wao ndio wanapiga kelele wameshaanza maandalizi ya ubingwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • skysports-20240311-0001.jpg
    skysports-20240311-0001.jpg
    141 KB · Views: 17
Martinelli kumkosa ni pengo kubwa sana,athari za kumkosa tuliziona juzi dhidi ya brentford.Ninachokiona hapa Jesus acheze nafasi ya Marti ya winger kwa sababu ya kasi yake anaweza tusaidia then Trossad acheze false no 9.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa Hizo hizo dharau zenu msimu ulioisha kwenye mechi 10 za mwisho za ligi mlipoteza mechi 6 kizembe tu.

Liverpool 2 - 2 Arsenal
Westham 2 - 2 Arsenal
Arsenal 3 - 3 Southampton
Mancity 4 - 1 Arsenal
Arsenal 0 - 3 Brighton
N.Forest 1 - 0 Arsenal

Unawania ubingwa na Mancity halafu kwenye mechi 10 za mwisho unapoteza points 12[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uo u mwisho gani unauzungumzia kwa sasa si ndo huu wa msimu huu watu wanakula 5 -6 au ?
 
We unavyojua Leeds anacheza ligi gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimechanganya ndugu zangu nilikua namaanisha hawa vijana wa Luton Town, unajua Hivi vitimu vinavyopanda daraja mara moja kwa kila baada ya miaka 10 midomo yetu inakua bado haijazoea kuvitaja.
 
Flano kachanganyikiwa na upweke umemzidia [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu mwenye wake watatu upweke anautolea wapi?
Upweke mnao nyinyi vijana mnaotegemea huruma za single mother[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kama nakutisha hapana bali nakukumbusha tu huko Ureno kuna timu inafanana kila kitu na Arsenyo inaitwa Benfica, wiki iliyoisha hio Arsenyo ya Ureno imegongwa goli 5 - 0 na Fc porto, wenyewe Arsenyau hua mnaita kono la nyani[emoji16][emoji16][emoji16]
Ingawa Mufti ameshatangaza kua kesho waislamu tunaanza mfungo wa Ramadhani, ila kwa jinsi ninavyowajua mashabiki wa Arsenyau matusi yatakua mengi humu bila hata kuheshimu kua watu wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza waambie kuwa BENFICA na PORTO kwa pamoja wanajua ladha ya kombe la UCL ila yeye ni anaingia kama underdog tu.
 
Kwanza waambie kuwa BENFICA na PORTO kwa pamoja wanajua ladha ya kombe la UCL ila yeye ni anaingia kama underdog tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Fc Porto ana Uefa 2 ana uzoefu mkubwa kwenye Uefa na wanazijua chocho zote za CL, halafu hawa kima hawana hata Conference League na tayari washagongwa goli moja lakini wana mdomo utafikiri wana Uefa 7+
Ukiwasikiliza kina Masingeli wanakwambia wao wanamtaka Madrid unabaki mdomo wazi tu.
Leo humu baada ya mechi yao na Porto kuisha kuna watu watajipiga Ban wenyewe humu halafu watasingizia wameibiwa simu hivyo wanakosa access ya kuingia JF[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii supercomputer yenu ilitupa ubingwa last season
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hilo swali unatikiwa umuulize Masingeli, yeye ndie alikua analeta humu breaking news za SuperComputer kila wakati[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Fc Porto ana Uefa 2 ana uzoefu mkubwa kwenye Uefa na wanazijua chocho zote za CL, halafu hawa kima hawana hata Conference League na tayari washagongwa goli moja lakini wana mdomo utafikiri wana Uefa 7+
Ukiwasikiliza kina Masingeli wanakwambia wao wanamtaka Madrid unabaki mdomo wazi tu.
Leo humu baada ya mechi yao na Porto kuisha kuna watu watajipiga Ban wenyewe humu halafu watasingizia wameibiwa simu hivyo wanakosa access ya kuingia JF[emoji23][emoji23][emoji23]
Maelezo mengi yasiyo na maana, jiandae kusafirisha msiba wa shangazi yako porto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom