Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1690075553112.jpg
 
Hivi yule jamaa yako anacheza namba ya nani pale Arsenal...for once hebu kuwa na aibu aisee...ana offer nn uwanjani...mlitufunga goli la dhuruma kilichokuja kuwakuta pale Emirates kinaeleweka....tangu mwanzo wa msimu nilikuambiq nyny ni watoto wadogo sana ukawa unakaza shingo hmu ndani....nnachosikitika tu hatukuwapiga kono la nyani...yaani hapo tu ndo tulipobugi
Oya vp umesikia huko mudryk ametupia goli la kuchukulia mkopo bank, toa maoni yako?
 
Hivi yule jamaa yako anacheza namba ya nani pale Arsenal...for once hebu kuwa na aibu aisee...ana offer nn uwanjani...mlitufunga goli la dhuruma kilichokuja kuwakuta pale Emirates kinaeleweka....tangu mwanzo wa msimu nilikuambiq nyny ni watoto wadogo sana ukawa unakaza shingo hmu ndani....nnachosikitika tu hatukuwapiga kono la nyani...yaani hapo tu ndo tulipobugi
Tatizo huangalii gemu yoyote ya Newcastle, Sisi tumekubali for this season tayari tumechoma ila tupo under process tutafika tu nchi ya ahadi.
Position anayocheza gordon pale Newcastle iangalie then useme martinelli/ trossard kamzidi nini assist / goals ? pamoja na team kuwa mbovu.
Najua kwasasa sina nguvu za kusema chochote maana upo katika maximum peak of false hopes, lazima niwe mpole tu kwa muda. Nitasema nini na unaongoza ligi kama season iliyopita tofauti tu last ulikua una points 8 saivi ni difference ya goals😆
 
Hivi kabisa unakaa chini unaanza kumfananisha Gordon na Martinelli na Trossard🤣🤣...kwli maajabu hayaishi hapa duniani...Gordon hyu hyu tunayemuona akikimbiakimbia kule mbele
 
Tatizo huangalii gemu yoyote ya Newcastle, Sisi tumekubali for this season tayari tumechoma ila tupo under process tutafika tu nchi ya ahadi.
Position anayocheza gordon pale Newcastle iangalie then useme martinelli/ trossard kamzidi nini assist / goals ? pamoja na team kuwa mbovu.
Najua kwasasa sina nguvu za kusema chochote maana upo katika maximum peak of false hopes, lazima niwe mpole tu kwa muda. Nitasema nini na unaongoza ligi kama season iliyopita tofauti tu last ulikua una points 8 saivi ni difference ya goals😆
Hyo timu hata ikae Miaka 5 mlicho achieve mwaka jana ku qualify UEFA ndo mwanzo na mwsho....hamtakaa mpate hyo nafasi tena mpk miaka 20 ipite...yaani in short mpk ww uwe Babu ndo hao jamaa utawana UEFA tena...pale hamna timu Bali ni wafanya vurugu...tofauti ya Nyukesto na Chelkenge ni ndogo sana ndo maana hata walivyokutana hakikueleweka kinachezwa nn
 
Back
Top Bottom