zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,258
Hat
Sijajua arteta kama amewaza vp ila mechi ya j5 sio ligi n ligi ya mabingwa....Mnachowaza tyri Mikel ameshakiwaza zamani...atakua alikuwa anajua kina Pepe watakuwa wameangalia mechi ya jana...na lazima atakuwa tyri ana majibu ya namna ya kuweza ku control hyo Hali....jana weakness yetu ilikuwa kipa na j4 Raya anarudi langoni...hopefully Martinelli atakuwa fit for this match na Jesus itakuwa kete yetu ya Siri dhidi Yao....bado tabu ipo palepale....waje tuwauliza maswali magumu🤠🤠🤠