arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Wangekuwa hawana uwezo wasingekuwa kileleni sasahv...hyo ni mchambuzi uchwara kama wengi tu tunaowajua
Wangekuwa hawana uwezo wasingekuwa kileleni sasahv...hyo ni mchambuzi uchwara kama wengi tu tunaowajua
Mkuu hadi umeamua kuweka jina id ya montserrat huenda umeshawahi kufika visiwa hivi vya carrebean. Ila ina milima yenye active volcanoes.We are where we wanted to be
Porto akitutoa msimu utaharibika kabisa, tutapata psychological demage kubwa.Sasa mtihani wa mwisho ni Porto. Tumalizane nae mapema tusepe zetu Dubai kufanya mambo yetu ya kimila. Tukirudi 5-0, 6-0 zinaendelea kama kawa
Yeah nilifika mara mojaMkuu hadi umeamua kuweka jina id ya montserrat huenda umeshawahi kufika visiwa hivi vya carrebean. Ila ina milima yenye active volcanoes.
Naamini Porto walifuatilia kwa umakini mechi ya jana, bila shaka watatumia same tacticsPorto akitutoa msimu utaharibika kabisa, tutapata psychological demage kubwa.
Remember Liverpool tumeisha malizana naye, it is better City ashinde, tutamalizana naye. I am sure full fit first 11 ya Arsenal, tunapata point kwa citySo inakuaje?
Inakua hivi.
Acha liva ashinde.
City bado hatujafikia hatua ya kusema tunaweza kumfunga comfortably, wakati kwa Liva naona its easier. Pia liva ameshinda mechi zaidi ya 2 dakika za lala salama mpaka magoli mengine yamezua controversies.
Kwa maoni yangu ni bora liva ashinde ila siyo city.
Lakini meetings zetu na City hua hazipendezi kuzitazamaRemember Liverpool tumeisha malizana naye, it is better City ashinde, tutamalizana naye. I am sure full fit first 11 ya Arsenal, tunapata point kwa city
Those are history, Arteta has invented new technics to leave them baffled everytime we face themLakini meetings zetu na City hua hazipendezi kuzitazama
Hua mna moyo mgumuRemember Liverpool tumeisha malizana naye, it is better City ashinde, tutamalizana naye. I am sure full fit first 11 ya Arsenal, tunapata point kwa city
Yes. Kuna hatari hiyoPorto akitutoa msimu utaharibika kabisa, tutapata psychological demage kubwa.
We unafikiri 8 wins in a row zinaokotwa barabarani? Kaokote na wewe uwe na moyo mgumuHua mna moyo mgumu
Mnachowaza tyri Mikel ameshakiwaza zamani...atakua alikuwa anajua kina Pepe watakuwa wameangalia mechi ya jana...na lazima atakuwa tyri ana majibu ya namna ya kuweza ku control hyo Hali....jana weakness yetu ilikuwa kipa na j4 Raya anarudi langoni...hopefully Martinelli atakuwa fit for this match na Jesus itakuwa kete yetu ya Siri dhidi Yao....bado tabu ipo palepale....waje tuwauliza maswali magumu🤠🤠🤠Yes. Kuna hatari hiyo
Cha muhimu ni kutengenezA nafasi nyingi za kufunga, kitu ambacho hatukufanya game ya mwisho. Cha pili ni kumzuia porto asipate chance. Cha tatu ni kufunga kwa chances zetu.Mnachowaza tyri Mikel ameshakiwaza zamani...atakua alikuwa anajua kina Pepe watakuwa wameangalia mechi ya jana...na lazima atakuwa tyri ana majibu ya namna ya kuweza ku control hyo Hali....jana weakness yetu ilikuwa kipa na j4 Raya anarudi langoni...hopefully Martinelli atakuwa fit for this match na Jesus itakuwa kete yetu ya Siri dhidi Yao....bado tabu ipo palepale....waje tuwauliza maswali magumu🤠🤠🤠
Kaka umekuwa mbele ya muda kuona madhara aiseee kipara akiwa juu tu ni kosa hilo,jamaaa utamfukuzaaaa mpaka anavaa medali 😂😂😂😂....kwa vita ya pale juu mtu hatari ni siti kwakuwa anaweza kupambana na adui mpaka dk za mwishoni.So inakuaje?
Inakua hivi.
Acha liva ashinde.
City bado hatujafikia hatua ya kusema tunaweza kumfunga comfortably, wakati kwa Liva naona its easier. Pia liva ameshinda mechi zaidi ya 2 dakika za lala salama mpaka magoli mengine yamezua controversies.
Kwa maoni yangu ni bora liva ashinde ila siyo city.