BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Eeeeeh mkuu.
Kaumia au
Kaumia au
Hizi kondoo zikichomoka leo, niulizwe mimi. Hizi kondoo zipo mwezini.Friends of Brentford tayari tumeshaweka kambi humu, tunasubiria ifike saa 8:30 tushangilie migoli ya ufundi toka kwa kina Toney, Mbeumo, Maupay bila kumsahau mkongoman Yoane Wissa.
Hizi kondoo zikichomoka leo, niulizwe mimi. Hizi kondoo zipo mwezini.
Hiyo mentality ndio strength ya timu, keep on believingAm worried na siyo kwakua Brentford hawatabiriki ila ni kwakua sina uhakika 100% tumeadopt mentality ya kushinda when it really matters.
Kikosi chetu kipo vizuri. Kai an Jorginho wamewekwa pale kushughulika na low blocks
Game mnashinda hii brentefod wote wamerudi nyumaTusipokua makini, Hii arsenal inaweza kutugea ugonjwa wa kisukari View attachment 2929713
watoto ilibidi wafungwe tu mda wote wamewaka BasiTayariii
Hii arsenal Kama mbio za mwenge, kata Hadi kataGame mnashinda hii brentefod wote wamerudi nyuma