Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,162
Ni kweli, katusaidia kupata ushindi. Tungesuluhu ingekua jambo jengine.Ameokoa mochomo ya hatari sana leo
Ni kweli, katusaidia kupata ushindi. Tungesuluhu ingekua jambo jengine.Ameokoa mochomo ya hatari sana leo
Wemekimbia wote😅Tusingeshinda nzi wangejaa hapa
Arsenal is on top of the Legue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zinapungua tena na kuwa 3?
Si tulikubaliana humu kuwa Brentford leo nae anapigwa kono la nyani?
Sawa. Haya chukueni points 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia we Castro Oil, golini pale yuko Rambo usijiaminishe ujinga.
Mnahangaika sana majirani🤠🤠...mwenye nguvu ashinde kesho sisi tutakuwa pembeni na popcorn tunaangalia boluMumeshascreenshot msimamo? Kama bado basi kila shabiki wa Arsenal afanye kuscreenshot msimamo ili kesho muda kama huu awe anaangalia na kusema "Jana tuliongoza Ligi".
Kevin hart acha kupanicMsimu huu salama yetu ni kushinda mechi kwa magoli mengi tu, maana PGMOL na VAR zao ni kama tuna ugomvi nao