Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .

Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparison huyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Lete takwimu ndani ya misimu minne Arsenal na Nyukesto timu gani imefunga magoli mengi basi
 
Sasa mbona haiongozi ligi mkuu,matokeo ni timu na hakunaga team ya mtu mmoja, mtu hawez Yuko kitandani hoi ukatoa ini lake ukasema ni zima utakuwa huna akili,na kuongoza ligi hakunaga kubahatisha na kama kipo basi kila team ina nafasi hiyo,katika msimu huu kuna kipindi arsenal imecheza bila odergad,hata bila saka,hasta bila martinel,hata bila jesus na wengine wengine wengi ivi vyote vina impact kwenye team na kwa mchezaji husika,lakin pamoja na hayo team inaongoza league unaleta masiasa yako ya kwenye majimbi uko

Wewe ndo hata sijuiii unaongea nini kipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.

Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.

Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.

Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
 
Sasa best 11 unataja wachezaji wa4

Wanaweza kufika hata 7 ki statistics?
IMG_1970.jpg

Nakukumbusha tu si kwa ubaya lakini humu ndani matusi yalitawala
 
Sasa unamtaja isak tena huoni aibu mkuu. Hio arsenal nzima hakuna mchezaji kama isak kama unabisha tuweke statistics hapa .

Huyo wilson mwenyewe alicheza dakika chache kuzidi jesus kamzidi mbaliii na pale Newcastle ni second striker sio main striker.

Kitu pekee unachoweza kupiga kelele nacho ni kukaa nafasi isiyo yako hapo juu.

Unapoongelea wachezaji wa Newcastle unaongelea best players nan anamweka trippier nje pale arsenal, nan anamweka bruno nje pale arsenal? Nan anamweka isak nje pale arsenal? Nan anamweka pope nje pale arsenal?
Statistics zimewafanya muwe na Point ngapi mkuu🤠🤠🤠....nyny mnakimbia sanaaa...Isak anacheza sanaa....mwsho wa siku 3 bila🤠🤠.....tangu mwanzo wa msimu tunawaambia nyny bdo ni watoto wadogo mnabisha...endeleeni kukaza vichwa basi
 
Nakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .

Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparison huyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Mnajaza server na hzi picha zenu...wanafunga halafu mnakuwa nafasi ipi....mwaka jana ndo mwanzo na mwsho kupata nafasi ya kucheza UEFA...mrudi kwny uhalisia wnu
 
Wewe ndo hata sijuiii unaongea nini kipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.

Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.

Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.

Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
Usiseme lin arsenal imekosa hao wachezaji ,sema hujui.
 
Hyu anajitutumua lakini ndani ya nafsi yake anajua kikundi alichochagua kumtoa mawazo kinamzidishia depression....kuna mechi hdi Trippier akawa anataka kwnda kuzichapa na mashabiki kisa wanaulizwa kwnn hamchezi vzuri tena dhidi ya kitimu kama Bournemouth
 
Mnajaza server na hzi picha zenu...wanafunga halafu mnakuwa nafasi ipi....mwaka jana ndo mwanzo na mwsho kupata nafasi ya kucheza UEFA...mrudi kwny uhalisia wnu

Kwani wewe before mwaka jana ulicheza uefa mwaka gani? Ukiongelea team ambazo katika misimu 7 iliyopita imecheza uefa au kupata nafasi ya kucheza uefa arsenal pia haipoo.

Wewe na Newcastle ndo watu wapya kwenye top 4 , kama unabisha basi taja mwaka uliocheza uefa katika miaka 7 iliyopita yaani unaongea as if hapo top 4 kwako ni kila siku kumbe na wewe mgeni tu.

Uhalisia wenu nyinyi arsenal ni upi? Kushinda mataji ama ? Basi tuonyeshe hilo taji ulioshinda
IMG_2075.jpg

Hii parade mlifanya mlikua mmeshinda trophy gani mkuu au hizi ni habari za kutunga?
 
Usiseme lin arsenal imekosa hao wachezaji ,sema hujui.

Daah yaani game 1 mchezaji kukosekama ndo unapiga kelele sasa mgekuwa na majeruhi kama Newcastle si kungekuwa na vilio vikuu humu ndani
IMG_2081.jpg

IMG_2082.jpg

Martineli minutes played ni 948, wilson kacheza nusu ya dakika alizocheza martineli lakini kazidiwa goal zaidi ya 5 .
Halafu unakuja kutuambia martineli alikua majeruhi unawajua majeruhi wewe.
 
Daah yaani game 1 mchezaji kukosekama ndo unapiga kelele sasa mgekuwa na majeruhi kama Newcastle si kungekuwa na vilio vikuu humu ndani View attachment 2837072
View attachment 2837073
Martineli minutes played ni 948, wilson kacheza nusu ya dakika alizocheza martineli lakini kazidiwa goal zaidi ya 5 .
Halafu unakuja kutuambia martineli alikua majeruhi unawajua majeruhi wewe.
Nyekestu mmefunga goli ngapi jumla na Arsenal kafunga goli ngapi jumla mbona swali hili unalikwepa sana.

Hayo magoli ya mchezaji mmja mmja ndo hayakutusaidia wakati ule tupo na Auba hata UEFA hayakutupeleka.

wewe mwenye Willson + Isack mmefunga goli ngapi na mimi mwenye Nketia na Jesus nimefunga goli ngapi team kama team

wewe mwenye Pope mmefungwa goli ngapi na mimi mwenye Ramsdale nmefungwa goli ngapi team kama team ukinijibu maswali haya basi tunamaliza mjadala
 
Wewe ndo hata sijuiii unaongea nini kipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.

Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.

Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.

Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
Wewe ni wakupuuza kabisa yan sentensi moja unawaweka Godon na Saka , kumbe ndo maana kuna watu umu hua hawajisumbui na wewe kabisa.
 
Nyekestu mmefunga goli ngapi jumla na Arsenal kafunga goli ngapi jumla mbona swali hili unalikwepa sana.

Hayo magoli ya mchezaji mmja mmja ndo hayakutusaidia wakati ule tupo na Auba hata UEFA hayakutupeleka.

wewe mwenye Willson + Isack mmefunga goli ngapi na mimi mwenye Nketia na Jesus nimefunga goli ngapi team kama team

wewe mwenye Pope mmefungwa goli ngapi na mimi mwenye Ramsdale nmefungwa goli ngapi team kama team ukinijibu maswali haya basi tunamaliza mjadala

Tulikua tunaongelea player comparison sasa unaleta habari za total goals tena

Anyway arsenal mpaka sasa mna goal scored 33 na mmefungwa 14

Newcastle tuna goals 32 then conceded goals 17.
Naona kwenye individual players umeamua kukimbia
 
Wewe ni wakupuuza kabisa yan sentensi moja unawaweka Godon na Saka , kumbe ndo maana kuna watu umu hua hawajisumbui na wewe kabisa.

Kuna mwenzako humu humu alikataza nisiwe na mquote inamletea trauma, alikua analeta maneno matupu then mimi naleta ushahidi mezani mwisho wa siku akawaka matusi kibao .

Nikuulize mpaka sasa tunavyoongea saka kamzidi nini gordon ? Kitu pekee saka alichomzidi gordon ni dakika za kucheza tu
IMG_2083.jpg

Vitu pekee saka kamzidi gordon ni dakika za kucheza na error leading to goal.

Nitajie saka kamzidi nini gordon mpaka tunavyoongea hapa
 
Nakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .

Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparison huyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Naomba Nitajie timu kubwa iliyowahi kumtaka Wilson
 
Kuna mwenzako humu humu alikataza nisiwe na mquote inamletea trauma, alikua analeta maneno matupu then mimi naleta ushahidi mezani mwisho wa siku akawaka matusi kibao .

Nikuulize mpaka sasa tunavyoongea saka kamzidi nini gordon ? Kitu pekee saka alichomzidi gordon ni dakika za kucheza tu View attachment 2837080
Vitu pekee saka kamzidi gordon ni dakika za kucheza na error leading to goal.

Nitajie saka kamzidi nini gordon mpaka tunavyoongea hapa
Arsenal ikiamua kumuuza Saka January tutamuuza kwa 120M.

Gordon mtamuuza kwa shilingi ngapi?
 
Huyu kipemba wa nyukesto hua nikimpiga spana nne anajibu moja halafu anavizia usiku wa manane ndiyo anajichomoza.

Sasa leo nimemfuma nimempa spana mbili za nyongeza kakimbia. Hapo harudi hadi alfajiri
 
hawezi kurudi mchana atavizia usiku
 
Chuma confirmed january kinasepa kama vip arteta akikaribishe tuView attachment 2836940
Arsenal wapo Makin Sana hawawezi kusajili mchezaji Kama huyu ,Pep alipigwa hapo amefikia hatua anamchezesha Stones na Akanji midfield,huyu hampi hata dakika 1

Arsenal inalenga wachezaji wapambanaji ,na wasio injury prone ,wakija wanaingia kwa timu moja kwa moja

Palhinha,Luiz ,n.k
 
Back
Top Bottom