Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi Rice na hizi corners na freekicks, atakuwa na Assists ngapi mpaka sasa? Bado na open play. Je hataweza kwenda sambamba na akina Bruno, Enzo, Mac Allister na KDB ukifika mwezi wa 5?
 
Sisi tunawa motivate tu kwa kuwapumulia mgongoni kwny mkuu🤠🤠...lile kombe la jana ndo la mwanzo na mwsho kwenu msimu huu...hayo mengine myasahau...bado Van Dijk ateguke...jana Gravenberch tumemuunga kwny list

Nunez na Salah wanarudi uwanjani this coming weekend.

Kwatikati ya mwezi wa March kuna wengine kama 4 wanarudi uwanjani.
So, shida ipo palepale.
 
Hivi nyie kenge akiumia Declan na Saliba si mtatafutana humu? sasa subirini wavunjwe
 
Nunez na Salah wanarudi uwanjani this coming weekend.

Kwatikati ya mwezi wa March kuna wengine kama 4 wanarudi uwanjani.
So, shida ipo palepale.
Nyunyez mzee wa nafasi 50 anapata 2🤠🤠🤠....Salah ameshapigwa na degedege akirudi kutumia kupo palepale....mm naomba kale ka Jota kasirudi...kale ndo kiherehere....Hawa wengine hawasumbui
 
Nyunyez mzee wa nafasi 50 anapata 2🤠🤠🤠....Salah ameshapigwa na degedege akirudi kutumia kupo palepale....mm naomba kale ka Jota kasirudi...kale ndo kiherehere....Hawa wengine hawasumbui
Nunez ndiyo Andy Carrol wao wa sasa, au Adebayor. Angekuwa Arsenal angekuwa anashindana na Havertz kukosa magoli
 
Nunez ndiyo Andy Carrol wao wa sasa, au Adebayor. Angekuwa Arsenal angekuwa anashindana na Havertz kukosa magoli
Halafu tunawakumbusha tu majirani mechi ijayo...kwny benchi tutakuwa na braza Thomas Partey...Gabriel Jesus...Fabio Vieira na Zinchenko wakisubiri kuingia dakika ya 60 huko kumalizia kilichoanzishwa tangu kipindi cha kwanza...tabu Iko palepale🤠🤠🤠
 
GOOD NEWS
#Arsenal are expected to have BOTH Thomas Partey and Oleksandr Zinchenko back fit for our next Premier League game with Sheffield United a week today

Haya matokeo ya hapa chini bila ya hao wahuni hapo juu
IMG-20240226-WA0026.jpg
 
Halafu tunawakumbusha tu majirani mechi ijayo...kwny benchi tutakuwa na braza Thomas Partey...Gabriel Jesus...Fabio Vieira na Zinchenko wakisubiri kuingia dakika ya 60 huko kumalizia kilichoanzishwa tangu kipindi cha kwanza...tabu Iko palepale🤠🤠🤠
Hawataleta timu uwanjani.

Uzuri kwao ni Partey si unamjua zake? Kesho kutwa tu utasikia bado hayuko tayari. Naona tukimaliza msimu bila yeye.
 
1. Watkins
2. Toney or
3. Osimhen to Arsenal next season?
I would go for Toney, he is a perfect match to our playing style
Watkins. Ila bila 100 na zaidi simuoni akija.

Tusihangaike na striker wa gharama sana. Tutafute kijana mpambanaji, mwenye speed na nguvu aina ya Alexis Sanchez na Luis Suarez kutoka South America huko. Tumpate mapema ili aanza pre-season na ikibidi tusagure ulaya tupate aliyeanza timu za ulaya tayari ili mambo ya permit yasisumbue.

Halafu tutafute winga hatari mithili ya Saka, na kiungo mithili ya Partey.

Kama Partey atatuaga June, naona Jorginho atabaki kwa mwaka mmoja. Atasaidia kumuingiza mdogo ndogo kiungo mpya kwenye mfumo.
 
Kuna kila dalili uyo na Flano ni mtu mmoja
🤣🤣🤣Binafsi sijawa kuishabikia Arsenyo hata kiuongo uongo tokea kuumbwa kwa dunia, fatilia comments za Labyrinth 84 miaka miwili nyuma utaona jamaa alikua ni arsenyau kindakindaki.
Kingine huyu jamaa Labyrinth 84 anajua sana kuchambua mpira na hua anatembea sana na facts ndio maana mpaka Masingeli kampiga marufuku kumquote maana kwa hoja na facts Masingeli hamuwezi, tofauti na mimi ambae kazi yangu kubwa hua ni kuleta porojo tu za kuwabeza na kuwakera Kima za humu😂😂😂
 
Attachments

  • tapatalk_-1906839962_485x632.jpeg
    tapatalk_-1906839962_485x632.jpeg
    73.6 KB · Views: 9
Back
Top Bottom