Sasa mbona haiongozi ligi mkuu,matokeo ni timu na hakunaga team ya mtu mmoja, mtu hawez Yuko kitandani hoi ukatoa ini lake ukasema ni zima utakuwa huna akili,na kuongoza ligi hakunaga kubahatisha na kama kipo basi kila team ina nafasi hiyo,katika msimu huu kuna kipindi arsenal imecheza bila odergad,hata bila saka,hasta bila martinel,hata bila jesus na wengine wengine wengi ivi vyote vina impact kwenye team na kwa mchezaji husika,lakin pamoja na hayo team inaongoza league unaleta masiasa yako ya kwenye majimbi uko