Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira ulivyo unaweza shangaa chelsea akashinda
FB_IMG_17020396147385255.jpg
 
Hivi hzi tuzo za mchezaji Bora na kocha Bora wa mwezi kwa EPL huwa zinapatikanaje...mchakato wake ukoje yaani....kwli kabisa Magwaya na baba Ubaya miksa bichwa lenye mabonde 7 hag wanashinda tuzo hii mbele ya makocha timamu wte kwa lipi walilolifanya🤠🤠🤠🤠
Sababu ni Manchester United ni kubwa kuliko arsenal
Ten hag ni kocha mzuri kuliko wako.
Mengine, siwez kukwambia kwa sababu una dharau nyingi na chuki bila chchte unachovuna EPL
 
Waitwao ni wengi ila wateule ni wachache.

Ngoja tuwape airtime wakae kae pale juu kama kawaida yao na kombe hawabebi
Liver ndoo
Aseno kondoo
Msimu huu na sisi tumempata msindikizaji wetu kwenye safari yetu ya ubingwa, ambaye ni Liverkuku. Sema huyu liverkuku yeye atatusindikiza akiwa chini yetu mpaka safari iishe.
 
Hukuona namna mlimpa sanduku city au wewe haukuwepo msimu jana😂
Msimu jana vijana walikuwa na mawenge ila sasa watakuwa wametulia. Walikuwa bado wanashangaa jinsi hata kombe la mbuzi msimu uliotangulia hawakupata, halafu ghafla wanajiona champions league hiyo hapo wameshaingia kiulaaiiini, tena EPL nayo ile pale bado mechi nane tu...
Madogo, akiwemo kocha, wakapagawa.
 
Hivi hzi tuzo za mchezaji Bora na kocha Bora wa mwezi kwa EPL huwa zinapatikanaje...mchakato wake ukoje yaani....kwli kabisa Magwaya na baba Ubaya miksa bichwa lenye mabonde 7 hag wanashinda tuzo hii mbele ya makocha timamu wte kwa lipi walilolifanya🤠🤠🤠🤠
MASHABIKI TUNA PIGA KURA MKUU.
 
Hivi hzi tuzo za mchezaji Bora na kocha Bora wa mwezi kwa EPL huwa zinapatikanaje...mchakato wake ukoje yaani....kwli kabisa Magwaya na baba Ubaya miksa bichwa lenye mabonde 7 hag wanashinda tuzo hii mbele ya makocha timamu wte kwa lipi walilolifanya
Mwaka Jana aliwahi kushinda mechi 2 akapewa tuzo
 
Sababu ni Manchester United ni kubwa kuliko arsenal
Ten hag ni kocha mzuri kuliko wako.
Mengine, siwez kukwambia kwa sababu una dharau nyingi na chuki bila chchte unachovuna EPL
Sisi tunaomba aendelee kupewa asifukuzwe

Furaha yangu Ni kuona mna kocha kiaz Kama ETH ,mnacheza pira makande
20231203_003010.jpg
 
Sababu ni Manchester United ni kubwa kuliko arsenal
Ten hag ni kocha mzuri kuliko wako.
Mengine, siwez kukwambia kwa sababu una dharau nyingi na chuki bila chchte unachovuna EPL
Kwli kabisa kihistoria Manunu ni kubwa kuliko Arsenal...ila bichwa baya Baba Ubaya ni kocha mzuri kwa kugombana na wachezaji na kucheza pira makande labda🤠🤠🤠....halafu kama chuki ni kuisema Manunu kwa kuwa kama kilabu cha pombe then so be it....maana hata legends wa klabu wanaikataa sasahv namna inavyojiendea sembuse sisi mashabiki maandazi mkuu 🤠🤠🤠...na kama dharau pia msingekuwa mnakuja hmu na kutujazia nzi hmu siku tunapocheza then ingekuwa heshima pande zte...but as long as tunapigana spana kishabiki...tutawakejeli na kuwadharau tutakavyo...nothing personal just business mkuu🤠🤠🤠
 
Mwaka Jana aliwahi kushinda mechi 2 akapewa tuzo
Uingereza hakuishi maajabu aisee...yaani kushinda dhidi ya kina Luton na kina vibwengo gani sijui huko wa chini tyri mandonga baba Ubaya anaonekana kafanya vzuri kuliko makocha wte huo mwezi kwli🤠🤠🤠...tena kwa pira butuabutua
 
Msimu jana vijana walikuwa na mawenge ila sasa watakuwa wametulia. Walikuwa bado wanashangaa jinsi hata kombe la mbuzi msimu uliotangulia hawakupata, halafu ghafla wanajiona champions league hiyo hapo wameshaingia kiulaaiiini, tena EPL nayo ile pale bado mechi nane tu...
Madogo, akiwemo kocha, wakapagawa.
Msimu huu kila timu ishajipanga kama ulikuwa hujui😂
 
Msimu jana vijana walikuwa na mawenge ila sasa watakuwa wametulia. Walikuwa bado wanashangaa jinsi hata kombe la mbuzi msimu uliotangulia hawakupata, halafu ghafla wanajiona champions league hiyo hapo wameshaingia kiulaaiiini, tena EPL nayo ile pale bado mechi nane tu...
Madogo, akiwemo kocha, wakapagawa.
Arsenal msimu uliopita Kwanza kikos kilikuwa chembemba sana Kias kwamba alikuwa akiumia mcheziji mmoja timu lazma idondoshe point,kingine timu Kama man city tulikuwa hatusimami mbele yake kitu ambacho saivi tofaut,saiv anaumia partey,ordegard,nk lakin bado timu iko vizur ,hawajasajili January bado majerui hawajarud ni balaaa🔥
 
Tunatakiwa kupata points sana. Tena kwa kucheza pira tamu. Baba ubaya na manyumbu wanapata points pamoja na kigoal difference cha kijinga sijawahi ona. Ila wanajikongoja na pamoja na madongo tunayopapiga, ile mechi ya chelsea manyumbu walitawala kabisa wale kenge. Wakiendelea hivi wataanza kujitambua na kutusumbua. Na sisi tuendelee kupiga points 3 na tuachane na draws.
 
Nyukesto ni Westham yenye hela anabisha. Akitoa suluhu na timu za farmers' league anaona kaiva anakuja hapa na khanga kiunoni kubishana kwamba eti wao ni timu tishio kwa sasa.

Hiyo timu ya ligi ya wakulima uliyosuluhu nayo nyumbu na ubovu wake alishinda game

Hio westham wewe umeifunga lini? Imekutoa carabao . Hao hao farmers league ulikufa kwa timu inashika nafasi ya 8 huko.

Arsenal nyinyi ni false hopers na kama unataka kuamini hili tusubiri muda ndo utasema vizuriii.
Game na Newcastle humu mwanangu gordon alifanya humu matusi yawe mengi sana ila ndo ivyo mshasahau kama mtakavyosahau ubingwa.
 
Very obsessed with arsenal.enjoy it while it last
 
IMG_2075.jpg

Asenali bana yaani hata wewe unajua hamtakua mabingwa ila ndo ivyo unajikaza hapa tu ila ndani ya moyo unajua kabisa hushindi chochote sio fa wala epl huko uefa ndo kabisa hata kukuwazia nusu finali hatukuwaziii.

Kuna jamaa humu nadhani hii parade aliratibu
 
Hio westham wewe umeifunga lini? Imekutoa carabao . Hao hao farmers league ulikufa kwa timu inashika nafasi ya 8 huko.

Arsenal nyinyi ni false hopers na kama unataka kuamini hili tusubiri muda ndo utasema vizuriii.
Game na Newcastle humu mwanangu gordon alifanya humu matusi yawe mengi sana ila ndo ivyo mshasahau kama mtakavyosahau ubingwa.
Wewe najua upo bongo. Wenye nyukesto yao wazungu wanasema hua mnajikaza mkicheza na timu kubwa 😂😂 hua unanielewa nikisema classic signs za timu ndogo ni zipi? Kujikaza dhidi ya timu kubwa.

Screenshot_2023-12-08-08-09-47-598_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom