Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,089
- 16,086
Ni kweli. Some people sound emotional kutokana na recent performance ya Kiwior. Hawakumbuki kama tulikua na Tomiyasu before Kiwior, na wote wakasema Kiwior hana nafasi tena.Tuwe na Akiba ya maneno mkuu.
Mpaka ikafika wakati kukawa na tetesi za Kiwior kupelekwa AC Milan kwa mkopo.
