....hii ni premier league,...mlitegemea kila team itafungwa tu?
together we stand jamani,...acheni kukata tamaa hovyo.
i trust and support arsene wengers arsenal kufa na kupona!
<img src="http://soccernet-assets.espn.go.com/design05/images/2011/0917/arsenaldejectedvbrfc_576x324.jpg" border="0" alt=""
Their faces tell it all. The look of a sinking ship.
....hii ni premier league,...mlitegemea kila team itafungwa tu?
together we stand jamani,...acheni kukata tamaa hovyo.
i trust and support arsene wengers arsenal kufa na kupona!
How many losses shall we swallow, before we call it quits for our manager?
Kuna kufungwa kwingine mkuu unaona powa tu kwani wachezaji wako wamejituma vya kutosha sema na timu nyingine ndio inakuwa imejituma zaidi au bahati sio yenu.
Matokeo ya leo ni uzembe kwani tulikuwa tume control game na tumeshindwa kuwamaliza wenyewe kwa vile tuko relaxed sana. Htuoneshi nia ya ushindi.
Kama tunavyoponda ajali za kizembe kila siku lazima tuponde matokeo ya kizembe kwenye timu yetu pia mkuu. Au unataka tuwe kama magamba kila kitu kazi ya Mungu? lol

...dahhh, hata wewe mkuu umeikatia tamaa team? ama kweli 'pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba'...
kunywa funda mbili tatu za maji bana, nakutegemea humu... we will be back mkongwe!

...And whom shall replace him with our current board members? sam allardyce?...or harry redknapp? martin jol is also available, hahhh!...cum on...give me your best shot a top manager who can work with a current structure which governs our club!

Mnichukie msinichukie,kama wenger akiwa sacked mi nataka aje wajina wangu Martin O'neil na si vinginevyo.
Mkuu tuko pamoja kama kawaida, kwenye makosa ni muhimu kutambua makosa na kama tukishindwa kuyatambua basi hatutaweza kurekebisha.
Ni vigumu kwangu kujifanya kila kitu kinaenda sawa wakati upungufu unaonekana. Ligi ngumu msimu huu inabidi Wenger afanye mambo haraka sana. Wachezaji tunao sema Wenger mpaka sasa hivi hajaijua first 11 yake au kuna wachezaji anajaribu kuwabeba kutegemea matokeo tofauti.
Arshavin mzigo, Ramsey bado kidogo hayupo tayari kuanza. Walcott nae huwa anatuangusha sio kila mechi anakuwa powa.
Zaidi ya hapo tusubiri Wilshere apone na Varmelen tuendelee kuangalia matokeo.
Natambua hali halisi tulio pitia hapo nyuma lakini pia ni muhimu kutumia nafasi kuchukua ushindi pale tunapopata. Leo tumeuza game.
Mda upo wa mabadiriko lakini pia ni muhimu kutambua mapungufu yetu ya sasa hivi kwani siku ya mwisho matokeo yote yana jumalishwa pamoja.
PROUD TO BE A GOONER.

Kikao cha JE kimeisha? Mbona upo huku!Hii ya arsenal mkuu dah
...sasa kamanda,... hebu wewe niwekee 1st eleven ambayo ungewapanga wewe wacheze leo...[kwa mtazamo wako] on behalf of your namesake...
tupo pamoja,....lakini kama unakubali kuna pengo la majeruhi, TV5 na Wilshere huoni mfumo wa uchezaji nao unaathirika?together as one bro,...sio nakuchallenge la hasha, najaribu kuangalia upande wa pili wa shilingi....
kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!Ligi tumeanza vibaya mkuu. Kama mimi ndio Wenger leo katika kikosi chake ningemuongezea Walcott ( badala ya Arshavin. jamaa huyu sas a hivi bora awe super sub tu, Benayoun (Badala ya Ramsey, dogo bado kidogo na pia ametoka injury angekuja kama sub), mwisho Gibbs ( respect kwa Santos lakini kutokana na perfomance ya Gibbs game mbili za mwisho leo alitakiwa kubaki na namba yake).
Kuhusu kutambua majeruhi ya Wilshere na TV5, ndio natambua lakini haiku affect matokeo ya game ya leo. Kumbuka ninacho jaribu kuangalia leo sana ni jinsi tulivyoweza ku-control game lakini tumeshindwa ku-focus kwenye game na kutumia nafasi tulizo pata za wazi.
Leo game tumeipoteza wenyewe na mwisho Wenger anatakiwa hawe tough kwa wachezaji wake. Majeruhi yatakuwepo na yataendelea kuwepo, ni muhimu wachezaji wanaopewa nafasi watambue umuhimu kwenye kusaidia timu.
Wala usiwe na wasi wasi mkuu wala huni challenge ni vizuri kuangalia timu yetu kwa kila upande na mwisho wa siku ni maoni yetu tu mkuu.
Pamoja mkuu kama kawaida.