Wale wabeba vyuma wa Newcastle watawavunja viuno hawa watoto mayai Arsenyetoz[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenzio wameshaanza kumlalamikia refa kabla hata ya game kuanza, Eddie Howe amesema leo Arsenyo akipata hata on target moja anajiuzulu ukocha, mechi ya leo ninachokiona Arsenyani anaenda kuongeza idadi ya majeruhi.
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app