shila 68
JF-Expert Member
- Jul 11, 2026
- 931
- 1,845
kwamba braighton ni tishio kwa usalama wa taifaMpaka leo tunapokutana na Newcastle wamewahi kutufunga mara saba tu. Sisi tumewafunga mara 25 halafu wamewahi kuonja suluhu mara tatu.
Historically hatukutakiwa kufananishwa na Newcastle ila watu miyeyusho wapo kila mahali. Ndiyo unakutana na yule jamaa akidai Newcastle wana mipango kuliko Arsenal.
Leo saa 2:30 tutakua tunaonyeshana mipango. Inabidi tutengeneze gap zaidi dhidi ya Brighton, hawa wanakua tishio ghafla ila sidhani kama watakua na consistency.