Nyumbu kapaki basi.
Plan mpya ya Erik
Walipoingia wavunja Kuni kina Nketiah ,elneny nikajua hatuongezi Tena goliWangemaliza wachezaji walioanza tungekua tunaongea goli 8 kwenda juu!
Dakika 15 za mwanzo walikua wamebaki nyuma. Half way wakabadilikaMbona naona wanapsnda?
Hamis , the comedy wa Mkuranga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walipoingia wavunja Kuni kina Nketiah ,elneny nikajua hatuongezi Tena goli
Ødegaard kapiga pass 117 Toka waanze kuchukua data 2004 hajawahi tokea mchezaji akapiga pass nyingi hivo ,plus 2 assist,
Mganga wa Dubai mliyempata ombeni sana dawa zake zisipungue nguvuKuna msela mmoja alikuwa anatupiga mikwara kwmba mechi ijayo mnacheza na West Ham....tunaomba aje atueleze ndo West Ham Hawa alokuwa anawazungumzia au kuna wengine[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]....bdo Aston Villa na Newcastle
Mmefikisha goli 6 ??Tumemgonga kocha wa zamani wa 'ASS-ANAL nje ndani..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2901084
Moyes pia ni kocha wq Zamani wa Man UTumemgonga kocha wa zamani wa 'ASS-ANAL nje ndani..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2901084
[emoji2772][emoji2772]Tukishawapiga nyinginyingi tunatia academy
[emoji16][emoji16]dahhWazee wa kupeana moyo naona mpo wakuu.
Sisi tunapita pita hapa in case mgonjwa akifa tufukie haraka haraka[emoji41]
Akikujibu nistueMoyes pia ni kocha wq Zamani wa Man U
Hao jamaa GD yao ikoje vile?Mmefikisha goli 6 ??