Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,920
- 75,772
Villa jana kimewakuta kilichotukuta kwenye defeats zetu za msimu huu na hata dhidi yao.Manunu tunajua haka kaupepo walikonako katakata mda sio mrefu...ni suala la muda tuš¤ š¤ ...jana walikuwa wanaacha matobo mengi sana katikati na hawakuwa compact kihivyo...
Chances zinatengenezwa, scorer hakuna.



ļø āBring Ethan Nwaneri in!ā,
