Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Akikujibu nistueMoyes pia ni kocha wq Zamani wa Man U
Akikujibu nistueMoyes pia ni kocha wq Zamani wa Man U
Hao jamaa GD yao ikoje vile?Mmefikisha goli 6 ??
Naona tutangulize pole zetu za dhati kabisa kwa kila kima atakayepata bahati mbaya ya kukatiza katika anga zetu mpaka msimu uishe.Kila alietuvimbia, hii round ya pili watatema tu mabungo
Waliosema ligi tunaanza January ndio naanza kuwaelewa sasa![]()
Tahadhari aambayo imetolewa, ukicheza na arsenal usijaribu kutaka kupishana. Chonde chonde utakutwa dhahamaNaona tutangulize pole zetu za dhati kabisa kwa kila kima atakayepata bahati mbaya ya kukatiza katika anga zetu mpaka msimu uishe.
Arsenal kiboko ya mabishoo
The West Ham fans are headed home early after being destroyed 4-0 by Arsenal in the
Ile clip ya mashabiki wakisepa ilifanya mechi inoge kinoma.Arsenal kiboko ya mabishoo
The West Ham fans are headed home early after being destroyed 4-0 by Arsenal in the first half.View attachment 2901229View attachment 2901230
Wazee wengine wanapenda matatizo kweli!Arsenal kiboko ya mabishoo
The West Ham fans are headed home early after being destroyed 4-0 by Arsenal in the first half.View attachment 2901229View attachment 2901230
Hii ishu nimeona kuna shabiki kaisemea Reddit.Kuna kitu kinanitatiza. Rice ni mrefu, namtaka awe ndani ya box anagombania mipira iliyokufa. Lakini anapiga mipira iliyokufa na delivery yake ni nzuri na tunapata mabao kutokana nayo. 🤔🤔
Yea. Aendelee tu kupiga huku wengine wakiendelea kujiimarisha katika upigaji.Hii ishu nimeona kuna shabiki kaisemea Reddit.
Sasa changamoto ni hiyo.
Akipiga anadeliver vizuri asipopiga uwepo wake ni advantage kwenye box. Mwisho tukakubaliana aendelee kupiga
Kijana ndio maana ulifeli shule kwa kutoelewa maswali. Zingatia neno "nje ndani" kijani11 KakumamotoMoyes pia ni kocha wq Zamani wa Man U
Kuachana ukiwa unamaanisha kumuuza au tuache aendelee kukua taratibu huku tukiwa tunampa mechi chache sana....fafanuaYea. Aendelee tu kupiga huku wengine wakiendelea kujiimarisha katika upigaji.
Kwenye umaliziaji kuna Havertz, kiwior, Saliba, Gabriel na White na Partey.
Kina Saka, Martinelli na Trossard, especially Trossard, Odegaard na Partey wanafaa kuwa wale players wanaozagaa nje ya box kushoot loose balls.
Nataka kusema Nwaneri ni mdogo/mfupi kwa sasa. Kabla ya kuwaza tuachane naye tutafute mtu mwenye build ya Rice, acha tuendelee kumuangalia. Anaweza kuwa Cazorla mwingine. Au Foden
Mfano mkicheza nao tena leo.
Huyu jamaa alikua na debut mbovu mno.
Manunu tunajua haka kaupepo walikonako katakata mda sio mrefu...ni suala la muda tu🤠🤠...jana walikuwa wanaacha matobo mengi sana katikati na hawakuwa compact kihivyo...Mfano mkicheza nao tena leo.
Na mkawafunga tena.
Bado hamuwafikii walipo