arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Duniani kwa Sasa kiukweli kabisa makocha wazuri wamebaki wachache na ambao hawana kazi kwa Sasa...wenzetu kocha anachaguliwa kwa kuangalia factors nyingi sana... especially culture ya klabu...na Arteta suits the best...kuna Interview Edu alifanya akaeleza namna walivyom recruit Arteta then unaona watu walivyo serious....Makocha kama Conte na Mourinho Wana aina ya klabu wanaweza kufundisha lakini sio zenye mtindo kama Arsenal au Barcelona...hata Zizzou pia...ndo maana watu watakaotaka Arteta aondoke watapata wakati mgumu sana hasa kuwashawishi wamiliki wa timu na hata Director of sports EduNakuelewa. Ila tupo pia wale ambao tunamuona huyu dogo bado. Tunafurahi akishinda halafu tukifungwa tunakumbuka "kwanza huyu dogo hatukumtaka..." 😀😀