Moyes amechonga sanaMoyes atajuta leo
Ndiyo tabia ya Arsenal inayoniboa hii. Leo tunatakiwa tuwapige hata nane hawa ila ndiyo hivyo, second half tunapoaga sanaUtashangaa second half wachezaji wanaenda kurelax. Hizi ndo game za kutanuwa GD. Game kama hizi Liverpool wanakupiga hata 10
Zimefika na naona kama zitazidiMoyes amechonga sana
Leo apigwe 6-0
Bado Astonvilla na Newcastle pale Emirates