Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Song????????? haya wee... watapata nguvu sana hawa.................
 
Song kajifunga , kazi hipo tunaanza upya.

Nadhani kama Wenger anataka ushindi hapa inabidi Walcott, Benayoun na Gibbs waje.
 
La tatu hiloooooo, oooh bahati yenu Arsenal..! duh hii club bora nishabikie JKT uljoro
 
It's a very simple script, "put the ball inside Arsenal box, and someone, somehow will score".
 
Duh...!!! Hadi tunashika??????????? That was so open man.... AIBU.....
 
Nilisema.., Blackburn 3 Arsena 2.., na mkiendelea hivi mtapigwa 8 tena..!!!
 
Hayaa kama kawaida kudili na kona na krosi ni issue kubwa kwetu, sasa tumejiongezea pressure zisizo za lazima
 
to be fair it looks a touch offside....anyway, a benefit of doubt for the bottom of the league team.
 
Japo Yakubu alikuwa offside lakini ni kwamba ukabaji wetu leo umesikitisha sana.

Sasa Wenger mda wa kufanya mabadiliko au anasubiri mpaka dakika ya 80?
 
AIBU sana... Hakuna cha kusema kuna watu nje wala nini... Huu ni upuuzi wa defenderz wetu.......3-2???? This was a must win game... Ila sioni hata hizo dalili....
 
Arse8 hata hawa jamaa wanaotaka kutimua kocha wanawatoa kamasi
 
Nilisema mwanzo nafasi tunazopoteza zitakuja kut-cost mwisho wa siku.

Wenger ulitakiwa kufanya double change sasa hivi tuko nyuma na tunataka ushindi. Mlete Benayoun.
 
Back
Top Bottom