Tumemiliki possession asilimia kubwa na tukiendelea hivi hawa Blackburn watachoka dakika za mwisho-mwisho tutaingiza Walcoltt atawamaliza, Koscielny yupo slow kidogo na Gervinho nae anajituma ila maamuzi yake wakati mwengine sio sahihi, kama mara mbili hivi alikuwa apasie square pass kwa RVP yeye alijaribu kufunga mwenyewe. Leo Arshavin anajitahidi sana
Sijamalizia kuandika Arteta ametuinua safi sana
Huyu Gervinho anataka kuwa Adebayor? Nafasi 5 goli 1? Van persie yuko peke yake kamnyima pia.
hahahaha! Govi-hno is sh!t sometimes! Hilo si lilikuwa goli kwa van Pussy!
Sisi waafrika ufisadi everywhere.... Tuna umimi sana.............Sijui yeye kama asingepewa pande na Song angefungaje....
Nadhani ana-mind extra bonus ya kufunga mabao mengi, ile-ile kibongo-bongo kama sio uroho wake ilikuwa tunaenda mapumziko tukiwa tumeshafunga biashara, itabidi Professa umbadilishe huyu kijana ajue umuhimu wa team work.Anaboa sana, tulitakiwa tuwe na magoli kama manne sasa hivi.
I hope Blackburn wataendelea kumuacha beki wao wa kushoto manake anatusaidia sana.
Sisi waafrika ufisadi everywhere.... Tuna umimi sana.............Sijui yeye kama asingepewa pande na Song angefungaje....
Aaaaaaaaaaaaah Govihilo ni wakutoa nje kabisa yaani gemu ya leo mlitakiwa msend message.............ukuta wa rovers unavuja tu.
Nadhani ana-mind extra bonus ya kufunga mabao mengi, ile-ile kibongo-bongo kama sio uroho wake ilikuwa tunaenda mapumziko tukiwa tumeshafunga biashara, itabidi Professa umbadilishe huyu kijana ajue umuhimu wa team work.