Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

yaani naingia home tu ktoka mzigoni namuona Gervinho anatikisa nyavu.....Raaaaaaaaaaha sana.... inakuaje wadau??? Bila kusahau haterz ambao hamkauki katika hii thread mambo vp??? Pilika za maisha ni aje??? karibuni tuwe pamoja katika kupata burudani.....Hahahahahahahhhaaaa

Wee ndo kumbe umeniovateki pale mataa kwa vurugu kuja kuwai apa?...lol!
Na mm nafika hm Ngeleja anachukua Megawatt zake...hii sio haki wajameni.
 
Nyie Blakibuni kazeni masaburi yenu..kudadaddeki zenu, nije Ewood Park kuona mnasasambuliwa hvi?, araaaa!
 
Arshavin anaanza kurudi katika form yako... Sio mbaya in these two game alozocheza.... gervinho ni soo......
 
So bad..... Would love Clean sheet... Kipa kayeyusha hapa.... Utatokaje kwenye mpr wa dizaini ile????
 
Gervinho mzur sana..sema apunguze tu wehu wa kiafrika., na ile rangi yake asifikiri na kujiona ka Runi, marefs watamsasambua.
 
Artetaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nafasi kama hio ndio aliopaisha Gervinhoo.sAFI SANA MUHIMU KUTUMIA NAFASI HIZI.
 
Arsen Wenga na Questt....hamjambo wadogo zangu?, naona tunapitana tu apa bila ata salamu.
 
Tumemiliki possession asilimia kubwa na tukiendelea hivi hawa Blackburn watachoka dakika za mwisho-mwisho tutaingiza Walcoltt atawamaliza, Koscielny yupo slow kidogo na Gervinho nae anajituma ila maamuzi yake wakati mwengine sio sahihi, kama mara mbili hivi alikuwa apasie square pass kwa RVP yeye alijaribu kufunga mwenyewe. Leo Arshavin anajitahidi sana
Sijamalizia kuandika Arteta ametuinua safi sana
 
Back
Top Bottom