Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa nilionesha dhahiri kwamba arteta hajui anachofanya. Hii ilikuwa July 2023. Anaacha kusajili watu wa kazi analeta takataka nyepesi.

Nawatakia kila la heri wale mashabiki lialia, I'm out.
 
Wenger orphans

Carabao cup out

FA out

EPL 4

hafu kuna mjinga kazi yake ni kuja kupiga kelele kwenye jukwaa la man u kwamba ten hag hafai wakati arteta msimu wa 5 huu mna dalili zote za kwenda trophres

Mm nshachoka kubishana na mpayukaji hamis
 
Wewe ndio mshabiki wa Arsenal kweli ,achana na hawa akina Hamis feki ,wazee wa kupika Data uchwara , Arsenal na trophies wapi na wapi ?
Arsenal ,yatima WA Wenger
 
Arteta is nothing but a Spanish Southgate (Raya issue).
 
licha ya kukosa nafasi kadhaa za kufunga lakini timu imekuwa predictable mno kwa namna inavocheza.

flow ya mpira hakuna timu pinzani isiyoijua.. ni same build up kila game hasa namna saka na ø wanavopasiana ata kama haileti matokeo.

arteta kazini kwake kuna kazi kweli!

arudi kusajili winger na CF proven ndio timu at least itaanza kusogea tartbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…