Kuna upepo mbaya unapota
Rekebisha kauli mkuu.hii ni blessing in costume.baadae tutaelewa maana ya haya matokeo.the night is still to call a dayKuna upepo mbaya unapota
Bila haya matokeo dirisha hili lingepita kimyaaa.ushajiuliza hii streak ya matokeo ingeanza april tungeishia wapi?Kuna upepo mbaya unapota
Different mind same thinking.naona unachoona mkuu.haya matokeo yana faida mnoooTimu yetu ni wapi imekosea?
Timu ambayo imepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya City, toe to toe na Liver mbona ghafla inaonekana kama vile haitakuja ondoka na chochote?
Tunafungwa magoli ya namna gani? Ni set pieces na hizi long balls. Kocha wa set pieces anafocus na offensive ya set pieces kuliko defense.
Tunatengeneza chances ila hatuna scorer. Best shooter hana service, our ST's strength siyo kuscore. Our best scorer anahitaji chances 3 kuscore goli 1.
Tunaamini tunahitaji ST na atasajiliwa January, ila Arteta kasema hana mpango wa kusajili. Mchezaji tunayehusishwa naye tunaambiwa tunatakiwa kulipia karibu na 80M. Huyu mchezaji hajacheza kwa mwaka mzima.
Hizi defeats ni blessings in disguise? Kwamba kwa tunachofanywa itawafosi Arsenal kusajili? Au ni haijalishi?
Ukiachana na Kutengeza XG karibu 6.7 kwenye match 3 zilizopita ila tumefunga goal 1 
Hoja yangu Leo ipo hapa Arsenal Siraha yao kubwa wakiwa hawana mpira ni Aggressive Man to pressing
Ndio Msingi mkubwa kujilinda Arsenal sasa endapo mpinzani akifanikiwa Kubeat hii press uwa tunakuwa kwenye hatari kubwa kuruhusu Goals
Tunapunguza Threats za mpinzani endapo anacheza mpira wa pass fupi fupi hapa kubeat press yetu uwa ni ngumu
Ila Mpinzani akianza tumia mipira mirefu hapa tunapata shida sana kujilinda Angalia game jana Second half Liver walivyo anza piga mipira mirefu
Walifanikiwa sehemu kubwa kubeat press yetu hivyo basi tunatakiwa kufanyia kazi kiulinzi pia namna kujilinda kwenye Transitions za namna hiyo
Mwisho tujitathimin Najua pengine fatigue sababu UCL uwa hakuna rotation kama Europa wachezaji wamecheza game nyingi mfululizo wale wale ila tunatakiwa badilika mashambulizi yetu yasiwe machachari yawe hatariUkiachana na Kutengeza XG karibu 6.7 kwenye match 3 zilizopita ila tumefunga goal 1
Hoja yangu Leo ipo hapa Arsenal Siraha yao kubwa wakiwa hawana mpira ni Aggressive Man to pressing
Ndio Msingi mkubwa kujilinda Arsenal sasa endapo mpinzani akifanikiwa Kubeat hii press uwa tunakuwa kwenye hatari kubwa kuruhusu Goals
Tunapunguza Threats za mpinzani endapo anacheza mpira wa pass fupi fupi hapa kubeat press yetu uwa ni ngumu
Ila Mpinzani akianza tumia mipira mirefu hapa tunapata shida sana kujilinda Angalia game jana Second half Liver walivyo anza piga mipira mirefu
Walifanikiwa sehemu kubwa kubeat press yetu hivyo basi tunatakiwa kufanyia kazi kiulinzi pia namna kujilinda kwenye Transitions za namna hiyo
Mwisho tujitathimin Najua pengine fatigue sababu UCL uwa hakuna rotation kama Europa wachezaji wamecheza game nyingi mfululizo wale wale ila tunatakiwa badilika mashambulizi yetu yasiwe machachari yawe hatari
Amigos
eti na ka emoji ka kuandika 

we una drama sana
kwahio apo ndo umechambua si ndioeti na ka emoji ka kuandika
we una drama sana
Kama umeandika vya kueleweka vilekwahio apo ndo umechambua si ndio
Ni vile nchi inaruhusu uhuru wa kujieleza lkn kama sio ivo.. Jamaa ilibid awe ameshapewa kesi ya utapeli wa maneno na porojo.Ukiachana na Kutengeza XG karibu 6.7 kwenye match 3 zilizopita ila tumefunga goal 1
Hoja yangu Leo ipo hapa Arsenal Siraha yao kubwa wakiwa hawana mpira ni Aggressive Man to pressing
Ndio Msingi mkubwa kujilinda Arsenal sasa endapo mpinzani akifanikiwa Kubeat hii press uwa tunakuwa kwenye hatari kubwa kuruhusu Goals
Tunapunguza Threats za mpinzani endapo anacheza mpira wa pass fupi fupi hapa kubeat press yetu uwa ni ngumu
Ila Mpinzani akianza tumia mipira mirefu hapa tunapata shida sana kujilinda Angalia game jana Second half Liver walivyo anza piga mipira mirefu
Walifanikiwa sehemu kubwa kubeat press yetu hivyo basi tunatakiwa kufanyia kazi kiulinzi pia namna kujilinda kwenye Transitions za namna hiyo
Mwisho tujitathimin Najua pengine fatigue sababu UCL uwa hakuna rotation kama Europa wachezaji wamecheza game nyingi mfululizo wale wale ila tunatakiwa badilika mashambulizi yetu yasiwe machachari yawe hatari
Amigos
Ila tuache utani Masingeli amelichangamsha sana hili jukwaa, bila ya uwepo wake humu hili jukwaa hua halinogi kabisa, tatizo lake huyu jamaa hua ana roho nyepesi sana timu ikifungwa.Ni vile nchi inaruhusu uhuru wa kujieleza lkn kama sio ivo.. Jamaa ilibid awe ameshapewa kesi ya utapeli wa maneno na porojo.
Ni vile nchi inaruhusu uhuru wa kujieleza lkn kama sio ivo.. Jamaa ilibid awe ameshapewa kesi ya utapeli wa maneno na porojo.

Angalau umekuja kuwachambulia wenzio wajue wapi timu ilikosea.Ukiachana na Kutengeza XG karibu 6.7 kwenye match 3 zilizopita ila tumefunga goal 1
Hoja yangu Leo ipo hapa Arsenal Siraha yao kubwa wakiwa hawana mpira ni Aggressive Man to pressing
Ndio Msingi mkubwa kujilinda Arsenal sasa endapo mpinzani akifanikiwa Kubeat hii press uwa tunakuwa kwenye hatari kubwa kuruhusu Goals
Tunapunguza Threats za mpinzani endapo anacheza mpira wa pass fupi fupi hapa kubeat press yetu uwa ni ngumu
Ila Mpinzani akianza tumia mipira mirefu hapa tunapata shida sana kujilinda Angalia game jana Second half Liver walivyo anza piga mipira mirefu
Walifanikiwa sehemu kubwa kubeat press yetu hivyo basi tunatakiwa kufanyia kazi kiulinzi pia namna kujilinda kwenye Transitions za namna hiyo
Mwisho tujitathimin Najua pengine fatigue sababu UCL uwa hakuna rotation kama Europa wachezaji wamecheza game nyingi mfululizo wale wale ila tunatakiwa badilika mashambulizi yetu yasiwe machachari yawe hatari
Amigos
eti na ka emoji ka kuandika
we una drama sana
Kama umeandika vya kueleweka vilekwahio apo ndo umechambua si ndio
.
😂😂😂😂Mtubu halafu mumrudishe Xhaka arudi kwenye nafasi yake