Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Me nadhan tusogee msibani.
Marehemu kazi ishakwisha.
Marehemu kazi ishakwisha.
Mkuu naona ss senses zako za kawaida zimekuijia vzr.Kwa mwendo wa kutokufunga chance after chance after chance, ndugu yetu hamis aambiwe kabisa hatutoboi hata 16 bora UEFA
Nina mda sana, sitaki hizi stress kabisa yani. Tumekuwa shyte kabisa..
[emoji23][emoji23]Kuna mtu atakuambia tumetoka ili tufocus na tournaments zingine.
Huyu jamaa ni TAHIRA sanaLiverpool Leo anatakiwa apigwe kipigo Cha mbwa Koko