Huo ni ujinga kama ujinga mwingine tu.At some point injury zimefanya sajili zetu ziwe kama tume downgrade from last season
Hopefully tutajifunza kitu Kutoka kwenye hizi back to back defeats
Game ya leo hatukucreate enough chances, game iliyopita hatukua clinical enough View attachment 2858797
Kikombe wanachoweza kupata hawa Kima labda ni kikombe cha mauti tu.Akiyanani
Fungu la kukosa
Mwaka jana tukawaacha angalau msafishe nyota
Ila mlivyo vilaza mkashindwa
Hakuna kikombe mtapata.
Aaah hamis77 bwana hafu yeye kakimbia kitambo kawaachia msala hapaKuna mdau humu alituambia Real Madrid and Manchester City pekee ndio washindani wa Arsenal kwenye Champions league au alikuwa anatania ?
Ukimsikiliza Hamisi anavyo waongopea vijana wa humu unabaki mdomo wazi.Saka pamoja na kufunga goli, uwezo wake umepungua by 50%
Saka pacha wake Rashidi makame aka Rashford , yaani waingereza ni waingereza tu , consistency ni ugonjwa wao , mambo mengi waingerezaUkishaona mchezaji ameanza ku bleach manywele hakuna mchezaji tena hapo
Majirani mnatufedhehesha sana Londoners , tumewapa jukumu la kuleta ndoo jiji la london msimu huu lakini bado mnazingua ,mnaleta mauzauzaNasoma tu comments zenu wachambuzi humu Jukwaani!
Ukimsikiliza Hamisi anavyo waongopea vijana wa humu unabaki mdomo wazi.
Hamisi anaidanganya misukule ya humu kua kwa sasa hakuna RW bora duniani wa kumzidi Sakatonge.
Cha-mbuzi timu ikifungwa linakula kona, hamtaliona tena humu mpaka mwakani.
Ila Odegaard sijui nini gani limemkumba ,huyu jamaa alikuwa wa moto sana siku za nyuma ,ila alipopata majeruhi ndio kashuka kiwango kabisa ,hajawa kwenye form yake ile kabla ya injury .Eti unataka ubingwa kiungo Odegaard hivi nyie mna vichaa
Kunya bogaHuo ni ujinga kama ujinga mwingine tu.
Saka tangu aboreshewe maslahi kibunda kimempa wazimuUkimsikiliza Hamisi anavyo waongopea vijana wa humu unabaki mdomo wazi.
Hamisi anaidanganya misukule ya humu kua kwa sasa hakuna RW bora duniani wa kumzidi Sakatonge.
Cha-mbuzi timu ikifungwa linakula kona, hamtaliona tena humu mpaka mwakani.
Usihame bwana ,unataka kuamia wapi sasa ? , maana nyumbu na sisi chelkenge ni mburula kabisa , vipigo kila sikuHii timu nimeshaihama
Kaboreshewa mshahara akawekea breachSaka tangu aboreshewe maslahi kibunda kimempa wazimu
Usihame bwana ,unataka kuamia wapi sasa maana ,nyumbu na sisi chelkenge ni mburula kabisa vipigo kila siku
DahAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowana huku wanatingisha wowowoo na kusema chukua yote yako.
Mbona maneno makali mkuu. Sisi na mamacita ndiyo tunausaka huu ubingwa ingawa sisi ujinga umetuzidi. Wa kutuzuia sisi ni ujinga wetu wenyewe. Ila nyie tumewaalika tu mtusindikize kama wapambe kwenye send-off. Mwisho wa siku mzigo tunabeba sie.