Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wazee mujiangalie munapocheza na hawa vibonde hii round ya lala salama hakuna anayetaka kushuka daraja
Niliandika hapa watu wakatukana. Tumeishia kupata point 4 mwezi december baada ya michezo mitano.
Kuanzia kwa Arteta mpaka timu yenyewe hakuna quality na spirit ya kuweza kubeba kombe kubwa.
Apatikane kocha ambaye ni tactical na sio huyu anapiga pasi zisizokuwa na umuhimu na mpira wake predictable.
Mliopo kwenye tent vipi mwili umeshawasili?
You are the best Arsenal fan broda.Maoni yangu ni haya na hayatendelea kubadilika kama die hard fans mnaamini Arsenal atabeba EPL or champions league trophyunder Arteta na kina Saka basi kutakuwa na tatizo la akili somewhere HAPPY NEW YEAR GUYS!
Nilisema mchana kabla.Tumenyooshwa
Arsenal mtaishia hivi hivi kila mwaka.....mbwa nyie!Nyie Aseno ni zaidi ya mbwa. Mnacheza na kibonde afu mnanichania mkeka? Hamtakuja kushinda kombe lolote lile la maana; nawalaani. Mtaishia tu kushinda makombe ya Emirates cup wapuuzi nyie!
Under Arteta the team themselves will not change.Sure, tunacheza mpira wa taratibu no quick passing of the ball. Tunahitaji mabadiliko
Nafikiri yalikuwa maoni yake binafsi kulingana anavyoilewa asenali,ila binafsi asenali sijawahi kumtarajia awe bora sana kama wanavyoiona baadhi ya mashabiki.Kuna mdau humu alituambia Real Madrid and Manchester City pekee ndio washindani wa Arsenal kwenye Champions league au alikuwa anatania ?
Du! Ila una roho ngumu sana mkuu🤣🤣🤣🤣Maoni yangu ni haya na hayatendelea kubadilika kama die hard fans mnaamini Arsenal atabeba EPL or champions league trophyunder Arteta na kina Saka basi kutakuwa na tatizo la akili somewhere HAPPY NEW YEAR GUYS!
Kwamba mlikuwa na ndoto za kubeba ubingwa?Hii timu yetu kubeba EPL msimu huu tusahau, 6 points tunaziachia alafu tunataka ubingwa? Sidhani
Organic chemistry au Physical Chemistry?
Achana na computerarsenal huyo anajua na ni fan wa ukweli.
Sasa ni wakati rasmi muanze mbio za kuiskaka top four. Habari za ubingwa waachieni wenye pumzi zao za kufukuzia ubingwa.Maoni yangu ni haya na hayatendelea kubadilika kama die hard fans mnaamini Arsenal atabeba EPL or champions league trophyunder Arteta na kina Saka basi kutakuwa na tatizo la akili somewhere HAPPY NEW YEAR GUYS!
Ukweli mtupu.Du! Ila una roho ngumu sana mkuu🤣🤣🤣🤣
Weka catalyst.Game tunashinda hii, ila Kuna chemistry flani Kama haijakaa sawa
Kocha mbwa kabisa umbwa mkubwa.Niliandika hapa watu wakatukana. Tumeishia kupata point 4 mwezi december baada ya michezo mitano.
Kuanzia kwa Arteta mpaka timu yenyewe hakuna quality na spirit ya kuweza kubeba kombe kubwa.
Apatikane kocha ambaye ni tactical na sio huyu anapiga pasi zisizokuwa na umuhimu na mpira wake predictable.
Well said.....Mimi ni Gunners mpaka Card ya Uanachama nilinunuaga wakati nasoma PhD UK,lakini kila siku huwa nampinga huyu mpuuzi HAMIS na uongo wake humu,hata leo alipoandika humu kwamba tunashinda nilimwambia aache uhuni wake tuna Timu mbovu tena ya KICHOKO,na ndicho kilichotokea,hii ni Timu lainilaini,nina wasiwasi hawa wachezaji watakuwa wanafirana sio bure
Nafikiri mipangilio yake haijakubali tuKudhihirisha arteta ni mpumbavu kwanini alimtoa kwa mkopo Tierney? Ile nafasi bado haijapata replacement baada ya kuumia Timber.
Generally we always perform poorly in December