Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fulham kuna wiki Kama 2 nyuma alikua anatoa doz haswa

Arteta ameona ngoja aanze na sold midfielders, zinny Pumzika kidogo

Must win game

#COYG
 
Hivi version gan ya Jf ni nzuri zaidi ,kuna muda hii haingii baadhi ya majukwaa

Kama unatumia JF App basi itakusumbua bado developer wa ile App ya JF hajaiweza kuiboresha ndiyomana unaweza kushindwa kufungua Threads karibu zote.

Njia pekee kwa sasa ni kutumia Browsers tu ambapo Chrome ndiyo best kwasasa ikifuatiwa na UC Browser.
 
Back
Top Bottom