Arteta ana ego,, au wewe ndiio una ego juu ya Arsenal na Arteta,!?LEICESTER wanachukua Ubingwa walijikuta Nafasi ambayo hawakuitegemea, Ukiangalia Mzunguko wa Pili ilikuwa ni suala la Mwalimu zaidi. ARTETA Mwalimu mzuri lakini bado ni Mwanafunzi aliye kazini, Hawezi jua Kupambana na Pressure kwake Binafsi na kwa Wachezaji wake. {Na ana "EGO" kuamini anajua kumbe bado sana}
Game Nyingi kwa sasa Timu zikicheza na Arsenal zimeamua kuiheshimu na zinawadhuru sana kupitia Utumiaji nafasi, Jana unamaliza na Nafasi za Wazi zaidi ya 5 bila Goli halafu unawaza Ubingwa! Haaland ama Salah washatoka hiyo hatua, Ukitaka Ubingwa nenda nao Jino kwa Jino, Kuwa na ST/CF uhakika ambao kuwapata January ni Bahati nasibu. KDB akirudi kwa CITY ni kama Sajili Mpya.
ARSENAL imekuwa inafungwa aina ya Magoli yanafanana sana karibuni, Imekuwa kama Mbinu ya walimu wa Timu nyingine. Mnafungwa sana Mipira ya Kutenga, Kona, Faulo, kitu ambacho Mlikuwa hamna kabisa msimu ulopita!
Eet laana[emoji16][emoji16] ,,,wewe nani uipe timu yetu Laana,Nyie Aseno ni zaidi ya mbwa. Mnacheza na kibonde afu mnanichania mkeka? Hamtakuja kushinda kombe lolote lile la maana; nawalaani. Mtaishia tu kushinda makombe ya Emirates cup wapuuzi nyie!
Unajua mpira kaka, Kuna kima umu hazijui bolu Kama Lina matokeo matatu..Binafsi sina tatizo na hao mashabiki wa timu zingine wanaoleta karaha humu ndani maana ni haki yao kama ambavyo tunapeleka karaha kwenye majukwaa yao.
Shida yangu ni hao wanaosema ni mashabiki wa Arsenal alafu wanasema haiwezi kuchukua ubingwa bila kutoa sababu za kimpira zaidi utasikia mara Arteta hana uzoefu, mara hatuna wachezaji wa kushindania ubingwa au mara tumu ina wachezaji wawili tu waliokamilika. Yaan ni watu wanaongea ovyo ovyo tu kama walevi. Tulitarajia timu ikifungwa au ikishinda basi tuje na maoni na mitazamo ya kimpira kwamba timu yetu imefungwa kwasababu kadha wa kadha au tumeshinda lkn bado tunatakiwa kurekebisha 1,2
Kwa wale ambao mnaisifia Liverpool nawakumbusha nyuma kidogo, baada ya Liverpool kucheza final ya UCL 2006/2007 timu ilianza kupoteana kidogo kidogo mpaka kufikia kushindwa kufuzu kucheza UCL 2010/2011 na imemchukua liver misimu mitano kurudi UCL.
Liver ilianza kurudi kwenye form chini ya kocha Roggers mpaka alipokuja kuichukua krop 2016/2017 ikiwa tayari imeanza kuwaka lkn bado ilimchukua Krop zaidi ya misimu 4 kuchukua Epl. Cha ajabu ni kwamba Arteta kaichukua Arsenal ikiwa hoi taabani lkn katumia misimu miwili tu kuirudisha timu kwenye form na sasa ni msimu wa pili tangu timu ikae vizuri na kuanza kushindania makombe lkn bado kuna mtu anakwambia hatuna timu ya ushindani wakati mpaka sasa ipo nafasi ya pili kwa point 2 nyuma ya anaeongoza ligi.
Kuna wengine wanakuja na hoja ya kocha kukosa uzoefu, sawa ila tujiulize ili upate uzoefu inatakiwa ufanye nini? Je ni lazima kuwa na uzoefu ndo ufanye vizuri? Unai ni kocha mzoefu, je alifanya vizuri?. Wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka wakati Pep anaochukua Barca kutoka Rigkard je alikuwa na uzoefu?? Zidane je???.
Nadhani wana-Arsenal tusijadili kama kwa kukandia kama ambavyo tunawakandia watani zetu wa timu zingine hilo tuwaachie wao kama tunavyowakandia kwenye majukwaa yao
Wewe Hamis a.k.a AaronArsenal naona umefufua id yako ya zamani baada ya kudhalilika na utoto unaoujaza hapa jukwaani.ya Saliba kuanza kupewa nafasi ya kucheza ulikuwa umewahi kuona kuwa ni complete player? Rice kabla ya kuja Arsenal kwa misimu kadhaa uliwahi kuona kuwa ni complete player? Unaweza kututhibishia??? Au ndo porojo za kuangalia mpira 1990. Huwezi kuwa serious wewe
Mpira haupo hivyo mzeenani!Huyu moyes atamsumbua sana arteta na msimu asipokaa vizuri ,arteta hatochukua hata pwenti moja[emoji23][emoji23][emoji23]....
Arteta akitaka kumfunga moyes na westham yake asitumie mbinu za fezifooo atachapwa kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa ndipo tunapofeli sisi mafans, kwamba Fulham alipiga 5 Arsenal wanashindwa wapi!Shida sijui nini,hawa Westham waligongwa 5 bila na Fulham wiki tatu zilizopita,leo Arsenal wanarukaruka TU,inakera sana
Mkuu computerarsenal ni mtu ambae amenyooka ndio maana hata mashabiki wenzake wa Arsenyo hua wanamuona kama msaliti.
Huo "mwanga" umeuonyesha tangu lini? Utaishia hivyo hivyo na tamaa zako za fisi ukidhani mkono utadindoka ule hadi njaa za makombe zitakuuaEet laana[emoji16][emoji16] ,,,wewe nani uipe timu yetu Laana,
Tuliko toka na tunako kwenda ni bora zaidi.. kinacho wa uma na mnaumia nijinsi tuna oneshe mwanga wa kuja kuchukua vyote..
Kwa nafasi aliyokaa Arteta last season katika 1st position for 284 days na Trophy [emoji471] hakubeba ingekuwa Klopp au Guardiola kombe angebeba na season hii ni yale yale kama ya last season position ambayo anatakiwa kukaa akishinda anaikosa so nothing new kwa Arsenal ya sasa tupo na tutakumbushana kocha una miaka 5 still unajenga timu ambayo ikitaka position nzuri unakosa ni mazoea na tushazoeaBinafsi sina tatizo na hao mashabiki wa timu zingine wanaoleta karaha humu ndani maana ni haki yao kama ambavyo tunapeleka karaha kwenye majukwaa yao.
Shida yangu ni hao wanaosema ni mashabiki wa Arsenal alafu wanasema haiwezi kuchukua ubingwa bila kutoa sababu za kimpira zaidi utasikia mara Arteta hana uzoefu, mara hatuna wachezaji wa kushindania ubingwa au mara tumu ina wachezaji wawili tu waliokamilika. Yaan ni watu wanaongea ovyo ovyo tu kama walevi. Tulitarajia timu ikifungwa au ikishinda basi tuje na maoni na mitazamo ya kimpira kwamba timu yetu imefungwa kwasababu kadha wa kadha au tumeshinda lkn bado tunatakiwa kurekebisha 1,2
Kwa wale ambao mnaisifia Liverpool nawakumbusha nyuma kidogo, baada ya Liverpool kucheza final ya UCL 2006/2007 timu ilianza kupoteana kidogo kidogo mpaka kufikia kushindwa kufuzu kucheza UCL 2010/2011 na imemchukua liver misimu mitano kurudi UCL.
Liver ilianza kurudi kwenye form chini ya kocha Roggers mpaka alipokuja kuichukua krop 2016/2017 ikiwa tayari imeanza kuwaka lkn bado ilimchukua Krop zaidi ya misimu 4 kuchukua Epl. Cha ajabu ni kwamba Arteta kaichukua Arsenal ikiwa hoi taabani lkn katumia misimu miwili tu kuirudisha timu kwenye form na sasa ni msimu wa pili tangu timu ikae vizuri na kuanza kushindania makombe lkn bado kuna mtu anakwambia hatuna timu ya ushindani wakati mpaka sasa ipo nafasi ya pili kwa point 2 nyuma ya anaeongoza ligi.
Kuna wengine wanakuja na hoja ya kocha kukosa uzoefu, sawa ila tujiulize ili upate uzoefu inatakiwa ufanye nini? Je ni lazima kuwa na uzoefu ndo ufanye vizuri? Unai ni kocha mzoefu, je alifanya vizuri?. Wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka wakati Pep anaochukua Barca kutoka Rigkard je alikuwa na uzoefu?? Zidane je???.
Nadhani wana-Arsenal tusijadili kama kwa kukandia kama ambavyo tunawakandia watani zetu wa timu zingine hilo tuwaachie wao kama tunavyowakandia kwenye majukwaa yao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]🫡🫡🫡🫡Mkuu computerarsenal ni mtu ambae amenyooka ndio maana hata mashabiki wenzake wa Arsenyo hua wanamuona kama msaliti.
Huyu jamaa sio wale bendera hufata upepo kila anachosema Masingeli na chawa wake basi na wao lazima wasapoti, computerarsenal timu ikifanya vizuri lazima asifie na ikizingua atakosoa, huyu jamaa ni mtu huru ambae hakubali akili yake kushikiliwa na watu ambao humu wanajiona wao ndio wana hati miliki ya timu.
Ulivyo suluhu uli kimbia Humu 😆😄🤣
Ukweli Mchungu ni kwamba ARSENAL ni timu Nzuri lakini sio TISHIO Kariba ya INVINCIBLES sababu ya CHARACTERS zilokuwa Leo Hii, Arsenal CPT ni ODE, ila tizama INVINCIBLES Timu yote walikuwa na Uwezo wa Kuwa Manahodha. Nadiriki kusema Players Wanaweza Ingia ARSENAL ya INVINCIBLES wanaweza wasizidi 3 {Kwangu ni RICE, SALIBA Mwingine Mmoja atakuwa SUB}.
Kuna Baadhi humu wanajua Mpira haswa hadi unajiuliza Inakuwaje mtu kama huyu naye anaingizwa kwenye falsafa za KINAZI kama za SIMBA na YANGA kwamba ni mazuri yetu tu!!
TUPENDE MPIRA TUSIPENDE TIMU.
HILI Ndo Tatizo kubwa Mpo nalo Mashabiki wengi wa ARSENAL humu ndani, Mtu akitoa hoja Hamji na Hoja kwa sababu amesema ambacho hamjapenda ila zinakuwa Porojo na Kejeli. Kuna hatua inafikaga Mnatoa Mpaka MATUSI!Arteta ana ego,, au wewe ndiio una ego juu ya Arsenal na Arteta,!?
Mbona mnajitungia vitu from no where,!?
[emoji1][emoji1]Mkuu wewe ni mtu huru, hua tunafurahia comments zako pale unapo pongeza timu inapofanya vizuri, tunakuunga mkono pale unapotoa ushauri kuhusu maboresho yanayohitajika kwenye timu, na pia tunasimama na wewe pale unapoamua kukosoa kwenye yale makosa yote yanayoonekana iwe ni kocha, wachezaji au management.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]🫡🫡🫡🫡
Unaona sasa ulivyomkalili Hamis, kwani una ugonvi nae!!?? Kuhusu Id hii kuwa ni ya Hamis hilo nakupuuza kwa kuwa halina maana. Kwahiyo kwa hoja yako ni kwamba ukimtizama mchezaji kwa mechi 3 tu tayari unajua huyu ni complete au sio complete. Je unaweza ukatusaidia vigezo vigezo vya kimpira unavyotumia kwa hizo mechi 3 kuthibitisha?Wewe Hamis a.k.a AaronArsenal naona umefufua id yako ya zamani baada ya kudhalilika na utoto unaoujaza hapa jukwaani.
Mchezaji akicheza mechi 3 tu unajua kabisa huyu anajua na amekamilika au la. Sasa akina GJ, ode na zin kila siku wanarukaruka tu.
Itunze vizuri.Naitunza hii comment, sisi tunapenda watu wenye mihemko kama wewe, na kazi yetu huwa kuwakumbusha ujuha wenu.
Ni wanafki kama nyie ndio mnamuingiza mkenge Labyrinth. Mnamjaza bichwa halafu anaanza kuleta habari za mijusi milia kuwa bora humu. Matokeo yake ni kelele zake huwa hazidumu humu na anajipigisha ban.Labyrinth kile ni kichwa nakikubali kinajua sana football, tulishawaambia humu hio homosexual football bila ya mentality ya makombe haitawasaidia kitu, nyinyi na Brighton hamna tofauti wote ni mid table team.