Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuanzia msimu wa juzi mechi ya mwishi ya msimu tumeshinda goli 5.

Why?

Hatuna pressure. Tunacheza smooth.

Ni kweli tumeimprove tukifananisha lakini kwanini inapotokea kwamba sasa hapa kinachohitajika ni ushindi timu nzima inacrumble? Nafasi zitakuja wakuscore hayupo.
 
Mi binafsi hii Arsenal imenishinda, sijui tatizo ni nini?
 
Arteta mjinga mjinga hivi.
 
Na kocha mjinga, miaka 4 yupo Arsenal unajenga nini sasa. Maana kila kitu anapewa. Niliwahi sema humu ubingwa unatutafuta ila tutaunyea.
Arteta kafanya makubwa Arsenal halipo ikuta na mpaka Sasahivi ni vitu viwili tofauti,kichukua kombe ni suala la mda tu,hata Cloop wa Liverpool ilimchukua miaka 4 kuchukua ubingwa, Sasahivi Arteta kabakiza kiziba viraka tu kazi kubwa kaisha ifanya EPL hakuna timu inayokwenda kupambana na Arsenal inakwenda kizembezembe lazima ijiandae kwelikweli kitu ambacho kabla ya Arteta kuchukua timu kilikuwa amna,kujenga timu ya ushindani ni process pia inaitaji mda na uvumilivu kidogo.
 
Tunahitaji Foward lazima, Jesus bado anakosa nafasi za wazi.

West Ham Game plan yao imefanya kazi leo.Tulikosa namna ya kufungua beki zao.

Beki zilifunguka nafasi zikapatikana. Sema umakini tu wa kufunga, ama muda mwingine namna ya kutaka kufunga magoli imeigharimu timu.
 
Lini utaisha huo ujenzi
 
Mzee kama kuna kitu hakina dhamana dunia hii bas ni nyie Arsenal ni No1 kwa Sbb team mliyo nayo ni ya kupigia porojo tu lkn sio kunyanyua ndoo za nzito za wanaume wa kazi.

Basi Arsenal ni timu shindani. Kama unaiona haina uwezo hata hapo ilipo isingekuwepo. Tuwape heshima yao na tusubirie nin kitatokea. 19 play to go, tofauti ya point 2 na anayeongoza.

Hao unaowaona ni hatari wamefanya nin mbele ya Arsenal? Tuheshimu kazi za watu, sio kupiga porojo tu humu.

Tukutane May kufanya review ya msimu.
 
Average coach with average players.
 
Nitakua wa mwisho kuamini Arsenal hii inaweza kubeba EPL mbele ya City/Liverpool au kufika robo UEFA

Arsenal ni Ile Ile miaka nenda miaka rudi

Bakia huko huko, takwimu hazidanganyi ubora walionao Arsenal. Nyie plastic fans wala hamtupi shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…