Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

One nil to us..... L'Poolz wamepigwa kimoko....Man City ni watu kupokezana H'Trick.... Leo Dzeko.... Kesho KUN Aguero..... Jamaa wanatisha......
 
One nil to us..... L'Poolz wamepigwa kimoko....Man City ni watu kupokezana H'Trick.... Leo Dzeko.... Kesho KUN Aguero..... Jamaa wanatisha......
City wanatisha mjomba.....
Hongereni point tatu si haba, jamaa wanasema Arteta kacheza vizuri vipi atakuwa replacement nzuri ya Nasri/Cesc?
 
hongereni kwa ushindi wapinzani. nasikia huyo kipa wa Swansea yuko kwenye shopping list ya Wenger.
 
hongereni kwa ushindi wapinzani. nasikia huyo kipa wa Swansea yuko kwenye shopping list ya Wenger.

What did I tell u guys, hes one of ours! He just needs a little encouragement! Sasa ndio tumeanza ligi, kibindoni tunazo pointi 4, give it time, league ndefu wakuu!
 
Next match against Borussa dotmund..hii sina wasiwasi fundi gervinho, song watakuwepo.
 
Duhh wakuu hongereni sana.............pamoja na ushindi wa kuchechemea.........walau utatuliza majonzi yaliyopita............
 
huyo kipa wa Swansea lazima kapewa brown envelope....khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
At least nitalala vizuri leo,Arsenal tumepata slim victory ya 1-0,my favourite spanish club Madrid ya ukweli 4-2 Getafe,na good newz kwangu ni barca katoa draw.
 
Atleast leo mmejifuta ile aibu kidoogo. Hongereni fans wa Arsenal though mnachechemea bado
 
Duhh wakuu hongereni sana.............pamoja na ushindi wa kuchechemea.........walau utatuliza majonzi yaliyopita............

Mkuu jana ndio mechi ya mwisho kwa Song na Gervinho kutumikia adhabu chacha chijui unafikiri nini? EPL bado mechi 34 usitie shaka kila timu wanatuangalia sisi tunafanya nini usione Manure na Chelsick wanaweweseka kwa sababu ya ubora wa timu chini ya Prof. Angalau bahasha zenu zilifanya kazi kwa red cards ... .... .... ... We lead others follow, you can see even the writing is on the wall.
 
Ndio mmeanza ligi hivi,kazi mnayo

Ndio mkuu au wewe hupendi? Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

One nil to us..... L'Poolz wamepigwa kimoko....Man City ni watu kupokezana H'Trick.... Leo Dzeko.... Kesho KUN Aguero..... Jamaa wanatisha......

Wanawatisha Manure khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The goal was kinda cricket.

Nimesikia mmekata rufaa goli litafutwa J3 kwenye kikao cha FA khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pia watawaongezea Manure na Chelsick kila mechi wakishinda watapata point nne. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
[h=1]Wenger takes 18-man squad to Germany[/h]Arsène Wenger and his squad arrived in Germany on Monday afternoon ahead of Tuesday's Champions League Group F game against Borussia Dortmund.
Eighteen players have travelled to Dortmund including new signings Mikel Arteta, Per Mertesacker, Yossi Benayoun, Andre Santos and Ju Young Park.

Arsenal squad

Andrey Arshavin
Mikel Arteta
Yossi Benayoun
Marouane Chamakh
Johan Djourou
Gervinho
Kieran Gibbs
Lukasz Fabianski
Emmanuel Frimpong
Laurent Koscielny
Per Mertesacker
Ju Young Park
Andre Santos
Bacary Sagna
Alex Song
Wojciech Szczesny
Robin van Persie
Theo Walcott

Source: Arsenal.com


K
wa nini BD wasife?????? can anyone give me a reason????????? Haterz!!!!!!!!!!


 
Aaaaaaaaaaaah kwa mpira ule mliocheza na Swansea sijui.............. subiri baadae mzee wa fitina atakuja kujitetea hapa
 

HUYU JAMAA MREFU BANAA

'
317430_288083897874764_153992474617241_1405319_206074666_n.jpg

 
<font color="#0000cd"><font size="4"><span style="font-family: century gothic">Aaaaaaaaaaaah kwa mpira ule mliocheza na Swansea sijui.............. subiri baadae mzee wa fitina atakuja kujitetea hapa</span></font></font>
<br />
<br />
song na gervinho walimiss..ebu cheki kabumbu ya leo.
 
Back
Top Bottom