Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ligi za Ulaya mwaka huu balaa Barca alishinda 5-0,Madrid 6-0,ManU 8-2 na Bayern Munich anaongoza 6-0 dakika ya 75
 
Hahahaaah!! Pole sana Bala, huku wamechukua muda mrefu tunatumia jenereta, hadi kero...
Mimi niko home.....Itabidi nifuatilie matokeo hapa hapa jamvini...

Yanga tumetoa sare na leo tena.........Inaumaaaa
 
Van Persie.......dah!!
Hapa kuna dalili za goli lingine.
 
Back
Top Bottom