Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aguero keshapiga hat-trick na Tevez kakosa penati
 
Leo mna mzuka kama vile final...aya watan, kila la kheri.
 
arsenal wanashambuliwa dakika hizi za mwisho, wanaweza kusawazisha hawa vijana...
 
Mpira umeisha pointi tatu kibindoni...

Sio mbaya kwa kuanzia. Wenger tusubiri kikosi kijacho kitakuwaje sio. Santos akianza na nataka kumuona Benayoun anaanza au Park pia.

Ndio mechi yetu ya kwanza toka msiba kwahio tutapata nguvu kidogo. Sasa tujipange mechi ya jumanne champions league.
 
Ebana gemu tumeshinda,.ila kazi bado tunayo kwenye defensive midfielder na playmaker.
 
Back
Top Bottom