Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwenye mauzo ya wachezaji, nakubaliana ba waliosema mauzo yetu huwa hayalingani na thamani ya wachezaji husika. Hii ni kwa sababu wahusika wa hizo deals na uongozi wetu kwa ujumla ni wabovu katika kazi hiyo. Tuliwapoteza kina Henry, Fabregas, Van Persie...kwa pesa ndogo tu huku kina Tottenham wakiwauza kina Bale, Modric na hata Kane kwa pesa mingi. Ozil, Auba tulivunja mikataba kabisa ili wasepe, kwa sababu zilizoeleweka wakati huo ila bado ilikuwa hasara kifedha. Hasara hiyo pia tunaweza kusema imeleta faida kwa timu, ikaleta faida uwanjani na hatimaye ikaleta faida mfukoni maana tulirejea champions league.
Kwa upande mwingine, tuliweza kuwauza kina Iwobi na Ox kwa pesa tuliyoona ni zaidi ya thamani yao. Tuseme tu hatuna uongozi mzuri kwenye mauzo. Ni suala lakushughulikiwa.
 
Kwenye mauzo ya wachezaji, nakubaliana ba waliosema mauzo yetu huwa hayalingani na thamani ya wachezaji husika. Hii ni kwa sababu wahusika wa hizo deals na uongozi wetu kwa ujumla ni wabovu katika kazi hiyo. Tuliwapoteza kina Henry, Fabregas, Van Persie...kwa pesa ndogo tu huku kina Tottenham wakiwauza kina Bale, Modric na hata Kane kwa pesa mingi. Ozil, Auba tulivunja mikataba kabisa ili wasepe, kwa sababu zilizoeleweka wakati huo ila bado ilikuwa hasara kifedha. Hasara hiyo pia tunaweza kusema imeleta faida kwa timu, ikaleta faida uwanjani na hatimaye ikaleta faida mfukoni maana tulirejea champions league.
Kwa upande mwingine, tuliweza kuwauza kina Iwobi na Ox kwa pesa tuliyoona ni zaidi ya thamani yao. Tuseme tu hatuna uongozi mzuri kwenye mauzo. Ni suala lakushughulikiwa.
Hata wakiwepo there is no way watapokea ofa ya kumuuza Saka au Martinelli leo
 
Yaani castr swali nimemuuliza jana anitajie mchezaji mmoja tu ambaye amewahi kuuzwa kama hela aliyouzwa gordon kuja newcastle lakini amekuja na vioja .

Anakuambia arsenal ni trophy oriented so hawauzi wachezaji, arsenal ni false hope oriented kaka wala hamna ubishi.

Hizi ni trophy oriented club kama unavyoziita na zimefanya biashara kubwa na kupata makombe

1: man utd uefa champion league winner 2008, EPL winner 2008, 2010 EPL winner ,2013 EPL winner .

* Ronaldo to real madrid £ 94M
*Lukaku to inter €94M
*Di maria to PSG €63M

2: chelsea uefa champions league winner 2012 , EPL winner 2009 ,2014 EPL winner , 2021 uefa champion winner .

* Eden hazard to real madrid €115M
*kai havertz to arsenal €75M
*Mount to man utd €64.2M
Diego costa to atletico 60M

3: man city uefa champion league winner 2022 na hizo EPL zihesabu mwenywe

* sterling to chelsea €56.2M
*Torres to barcelona €55M
*Jesus to Arsenal € 52M
*leory sane to bayern €49M

4: juventus nadhani unajua kashinda mara ngap serie A

  • pogba to man utd €90
  • De ligt to bayern €68M
*zidane to real €66M
* cancelo to man city 56M

5: Real madrid kachukua uefa kibao na ligi pia

*Ronaldo to juventus €117M
* Di maria to man utd € 70M
*casemiro to man utd €70M
*morata to chelsea 66M

6:Barcelona kachukua uefa na ligi kibao

*Neymar to PSG €222M
*Arthur melo to juventus €80.6M
*Figo to real € 60M

7: liverpool uefa na ligi zote kachukua

* coutinho €135
Suarez € 81M
*sterling 63.7M

Sasa mimi nimeomba unitajie tu wa 45M umekuja na false hope za trophy oriented haya nitajie hata hilo trophy mliochukua basi
Jamaa unawapiga nyundo za miguu.
Sema sasa hivi wana SAKA watauza € 80m.
 
Timu ambazo ziko trophy oriented kuuza mchezaji kwa bei kubwa hua yaweza tokea mara 1 kwenye dirisha la usajili, mfano huwezi kuta Bayern imeuza mchezaji wake kwa 60M kwenda juu kwa misimu minne mfululizo.

Barcelona wamewahi muuza Neymar kwa bei ya juu mno, baada ya hapo wamemuuza nani kwa nusu ya pesa ya Neymar?

Same na Juve/ Nyumbu etc.

Sababu ni kwamba kwa mchezaji mwenye hiyo thamani ni kumaanisha yuko vizuri uwanjani na anatarajiwa atoe mchango kwa ajili ya trophies. Hizi timu hazitegemei mauzo ya wachezaji kama chanzo kikuu cha mapato.

Dortmund, Brighton, Westham, Villa, Atletico, Inter (Ya kuanzia misimu mitatu nyuma mpaka sasa), Leicester na wanaofanania hapo kuuza wachezaji kwao ni sehemu ya mapato. Leicester baada ya kombe msimu uliofuata timu kubwa zikaondoka na uti wa mgongo wa timu.

Arsenal iliwahi kua inauza wachezaji kipindi ambacho kuna mkopo wa uwanja, kipindi hicho timu kichaa kutoa zaidi ya 50M ni Madrid. Arsenal imeuza wachezaji kipindi ambacho timu ikitoa 55M inampata Zidane aliyeiva.

Sasa hivi unatoa 100M anakuja mchezaji anakaa misimu miwili bila goli.

Arsenal ya sasa haiwezi kuuza mchezaji kwakua inataka mapato. Ya zamani ingemuuza Saka, Saliba, Magalhaes, Martinelli, Smith Rowe n.k.

Saka ana rekodi kubwa sana kwa sasa, kwenye GA, dribbles na chance creation, kote huko ni wa kwanza with 50+ by wa kwanza means hakuna mwingine. Ana umri unaoruhusu kukua.

Wote tunafuatilia mpira, msimu uliopita Almiron alishine for almost game 6 baada ya pale hatumsikii tena, same purple patch imemuangukia Gordon. Ni ujinga kudai he is better than Saka.

Transfer market and the like wamelist market value ya kila mchezaji, waweza jaribu kuangalia.

Newcastle nzima mchezaji ambaye anaweza kuingia Arsenal bila kusubiri ni Trippier tu. Mwingine yeyote ataanzia benchi easily.

The hate is too much eh? Sidhani. Hii siyo chuki, ni ujinga.
Kama mtu asipoelewa hiki basi ni kichaa na mtindio wa ubongo, izi takwimu mara nyingi haziakisi lolote, izi izi takwimu unaweza kumkataa Rasmus Hodjland mbele ya Eddie Nketia 😁.
 
Kwa mu
Be realistic midfield ya arsenal inayocheza na Harvest ,Rice na Ode ,GUIMAREAS asicheze? ,forward ya Gabri Jesus ISAK asicheze utakuwa ukichaa Kwa kipi alichonacho ?Nimuache nje Nick Pope Ili wacheze mistakes after mistakes golie Raya na Rams ,kuwa Serious .Ulianza vizuri mwishoni umeharibu
kwa mujibu wa aliyeleta hoja kai ana goli 3 Bruno G ana Goli 1 kwaiyo kwa maana iyo anaenda na Kai why nimuache Nje kai.. Uyo shabiki wa 4castle ndo anaamin takwimu pekee wala sio mimi
 
Sitajibu kitu chochote cha shabiki wa nyukesto kuhusu ubora wa timu yake/ wachezaji wake mpaka akirudi top four.

Mijadala mingine naweza kuendelea naye.

Mkinikuta, nikumbusheni hii post najipiga ban
 
Back
Top Bottom