verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,127
- 6,179
Shida sio Martinelli, shida ni hatuna LCM wa kumsaidiaAchilia mbali kuonewa kuna shida kwa martineli hayuko sawa natamanj arudi kuwa wa last season aisee
Shida sio Martinelli, shida ni hatuna LCM wa kumsaidiaAchilia mbali kuonewa kuna shida kwa martineli hayuko sawa natamanj arudi kuwa wa last season aisee
Kiukweli inabidi team iendane na Kai kwa sasaShida sio Martinelli, shida ni hatuna LCM wa kumsaidia
acha afe tu.kale kauwanja cha luton unakaonaje aseCity anakufa huko, ila no one cares
Tumefungwa kwa dhulma, kuna ajenda against Arsenal nilishasema na nitaendelea kusema
Sisi tulipata ushindi dakika za jioni ikaonekana bahati, Pep anahangaika na 4th official uko analalamika tuacha afe tu.kale kauwanja cha luton unakaonaje ase
arsenal tunapigwa vita sana ase. tukishinda tabu,kukidroo tabu, tukifungwa ndo hatariSisi tulipata ushindi dakika za jioni ikaonekana bahati, Pep anahangaika na 4th official uko analalamika tu
yupo sirias bossNadhani City hayuko serious.
arsenal tunapigwa vita sana ase. tukishinda tabu,kukidroo tabu, tukifungwa ndo hatari
kabisa
Wangekuwa hawako serious wasingekuwa wanambutulia mashuti kipa wa Luton🤠🤠🤠...ni kwmba tu mpk Sasa Hali ya bahati imeshachafuka...vile vitoto vina mbinu za kimafia....kipara abadilike vngnevyo misiba ya jana itatawala na majukwaa Yao leoNadhani City hayuko serious.
ngoja nisubiri hadi baadae mechi ya nyukesto ikiisha nini kitaendelea humuWanasema tuna mdomomdomo sana ndo maana mkuu🤠🤠🤠...yaani sasahv hata kubdroo hatutakiwi