Muache kidomodomo ,ligi ya epl ni ngumu sana sasa hiviWanasema tuna mdomomdomo sana ndo maana mkuu🤠🤠🤠...yaani sasahv hata kubdroo hatutakiwi
Sio farmers league hii kama enzi zile za Ferguson mpaka mnatabiri nani bingwa
We huoni mpaka Luton kakaza huko ?
Kila mechi ya epl sasa hivi ni kama fainali ya UEFA vile , kila mtu kaota sharubu
Hutakiwi kumdharau opponent hata kidogo
