Hapo kwa gabriel hatuna ka kijana ka kucheza hapo?Kikosi Cha kesho kukamilisha RatibaView attachment 2839655
Shida sio point shida ni mentality broUnaongea ukiwa serious au unatania mkuu...hii timu Ina mashabiki wa rangi mbili kwli...mechi ya jana tyri imekutoa kabisa kwny reli...halafu tembo akipanda juu ya tawi tena muanze kusema ubingwa ni wetu....ajabu kwakwli....tungefungwa na kuona hatuna mpira wa kutafuta kitu tunacheza ningekaa kimya ila point moja umepitwa tyri umekata tamaa
...mkuu unaweza kwnda kujiunga na yule wa Nyukesto kama vp
Kama umefatilia vzuri Interviews za Arteta na Edu utaona kabisa tunapoelekea tutakuwa na wachezaji wazuri sana...maana Kila msimu sasahv tunanunua watu wa kazi....City ilivyokuwa na backline ya Clichy na Sagna leo hii Ina Walker na kina Ake....it's a process...kuwa na amani tunapoenda ni kuzuri sana tofauti na tulipotoka....tuna kikosi kinachoweza ku compete kwny nafasi za juu kwa Sasa....we are like 4 good signings away from being a major force to reckon with...hvyo relax...pale juu tutarudi tena usiogope🤠🤠🤠Shida sio point shida ni mentality bro
mara ngapi arsenal tumeshindwa ku capitalize chance kwenye ligi jiulize mara ngapi ??
We are to soft bro very soft angalia defending yetu
Then nayasema haya huku nikiangalia aggressiveness ya city ya kushinda mechi ngumu na ku control pressure ya mechi ngumu
Its oviasi unatafuta goli, sub yuko nketiah bro kuna goli hapo no arsenal tunaitaji quality player everywhere nikisema everywhere namaanisha kaka
N.B mm nasemaje arsenal tunahitaji superb player wakuamua game ngumu kama zile.
Kama umefatilia vzuri Interviews za Arteta na Edu utaona kabisa tunapoelekea tutakuwa na wachezaji wazuri sana...maana Kila msimu sasahv tunanunua watu wa kazi....City ilivyokuwa na backline ya Clichy na Sagna leo hii Ina Walker na kina Ake....it's a process...kuwa na amani tunapoenda ni kuzuri sana tofauti na tulipotoka....tuna kikosi kinachoweza ku compete kwny nafasi za juu kwa Sasa....we are like 4 good signings away from being a major force to reckon with...hvyo relax...pale juu tutarudi tena usiogope🤠🤠🤠
Hiyo force to be reckoned with tunaitaka saivi siyo 4 signings later.. si unajua tumesubiri sana na tumechoka kiasi cha myu kuhamia Newcastle? Kule unyumbuni hawajateseka kama sisi ila kuna mtu kaishia zake BrightonKama umefatilia vzuri Interviews za Arteta na Edu utaona kabisa tunapoelekea tutakuwa na wachezaji wazuri sana...maana Kila msimu sasahv tunanunua watu wa kazi....City ilivyokuwa na backline ya Clichy na Sagna leo hii Ina Walker na kina Ake....it's a process...kuwa na amani tunapoenda ni kuzuri sana tofauti na tulipotoka....tuna kikosi kinachoweza ku compete kwny nafasi za juu kwa Sasa....we are like 4 good signings away from being a major force to reckon with...hvyo relax...pale juu tutarudi tena usiogope🤠🤠🤠
Mtaipata karibuni🤠🤠.. Kroenke ndo anayetoa mavumba siku akinuna tunaanza upya...tumeipenda wenyewe...chaguo letu milele🤠🤠Hiyo force to be reckoned with tunaitaka saivi siyo 4 signings later.. si unajua tumesubiri sana na tumechoka kiasi cha myu kuhamia Newcastle? Kule unyumbuni hawajateseka kama sisi ila kuna mtu kaishia zake Brighton
🔥🔥🔥🔥🔥
Unamaanisha hata shabiki mmoja tu wa Newcastle kati ya wale wawili jumla? Na anayepostigi ni mmoja tu?Hadi dakika hii Hakuna panya yoyote wa Newcastle aliyekuja kupiga kelele humu.
Leo tunamnyonga psv na watoto wa academyUzi umeshatoa upepo huu, hautembei tena. Vipigo vikikolea watabaki wawili humu.
Inaweza ikawa draw...usishangae...hiyo mechi sina uhakika kama Ina umuhimu sana kwetuLeo tunamnyonga psv na watoto wa academy
Hadi dakika hii Hakuna panya yoyote wa Newcastle aliyekuja kupiga kelele humu.


Yule mnampa airtime Haina umuhimu. Labda kama tunataka pesa za kushinda mechiInaweza ikawa draw...usishangae...hiyo mechi sina uhakika kama Ina umuhimu sana kwetu
Msimpotezee. Mpeni nafasi ya kuleta hoja zake, asikilizwe na ajibiwe kwa hoja kama shabiki mwingine tu 🤣. Ikiwezekana, kama zawadi ya December kwa wana Newcastle, tuwaombe mods waunganishe uzi wao na wetu kwa mwezi huu wa December ili na wao wapate lau engagement jamani.Yule mnampa airtime
Mm nilishampuuza ,Kuna Kenge mmoja wa Liverpool naona nae anasaka umaarufu humu,dawa yake ipo jikon
Kuna Pesa aisee ,Naona kabisa Arteta akizitolea machoHaina umuhimu. Labda kama tunataka pesa za kushinda mechi