Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger: Deals not knee-jerk

Arsene Wenger insists none of his new signings were knee-jerk reactions to Arsenal's heavy defeat at Old Trafford. Read

Napendekeza tuwe tuna" photo of the season" kwenye jukwaa la michezo ,nadhani so far hii ingeshinda
 
Napendekeza tuwe tuna" photo of the season" kwenye jukwaa la michezo ,nadhani so far hii ingeshinda

Wacha utukutu wewe. Kwenu hakuna wakubwa? Kuwa na adabu na heshima - We are the GUNNERS and together we stand, yaani hapo unatupa promo tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Team in full: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Frimpong, Arteta, Ramsey, Walcott, Arshavin, Van Persie
Subs: Fabianski, Andre Santos, Djourou, Benayoun, Chamakh, Park

Mungu ijaalie Arsenal... Mungu ijaalie furaha yangu.....
 
Wakuu ndio bado nusu saa kujaribu kuweka mambo safi .
Team in full: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Frimpong, Arteta, Ramsey, Walcott, Arshavin, Van Persie

Subs: Fabianski, Andre Santos, Djourou, Benayoun, Chamakh, Park
Kiskosi cha leo ni:

Naona Wenger bado anambeba Arshavin lakini powa tu sio mbaya supersub Benayoun akija baadae.

Kila la kheri gooners wenzangu tuko pamoja.
 
Team in full: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Frimpong, Arteta, Ramsey, Walcott, Arshavin, Van Persie
Subs: Fabianski, Andre Santos, Djourou, Benayoun, Chamakh, Park

Mungu ijaalie Arsenal... Mungu ijaalie furaha yangu.....

Noana post zetu zimetoka mda mmoja mkuu lol.

Tunaanza ligi rasmi sasa yanyuma tuyasahau.

Nategemea Santos na Park watapewa nafasi leo hili washabiki tuwaone.
 
Noana post zetu zimetoka mda mmoja mkuu lol.

Tunaanza ligi rasmi sasa yanyuma tuyasahau.

Nategemea Santos na Park watapewa nafasi leo hili washabiki tuwaone.

AW alisema hana Match fitness....Lakini naona ni wakati wa kumpa hata 15 minutes tumuone......Jamaa anapanda sana mbele.....
 
Naona msimu wenu unaanza rasmi leo..haya all the best maana najua leo lazima mtamalizia hasira zenu zote kwao lol.

Yanatoka moyoni au ndo umeamua kuandika koz huna jinsi....??? pay back is comin......wt n c.....hhahahahahahahahaaaaa
 
Yanatoka moyoni au ndo umeamua kuandika koz huna jinsi....??? pay back is comin......wt n c.....hhahahahahahahahaaaaa
Of course yanatoka moyoni...vipi mbona unajishtukia? You are playing against swansea.
 
Yaani huyu ASHA- NGEDERE- VIN anaudhi sana... Sijui AW anambebea nini...Thus y NB alimind koz nae hakupewa nafasi kama alizopewa huyu ASHA.......
 
I know... and the payback will be against u Man u'zz
Lmao 8-2 scoreline? Bro sikujua na wewe uko deluded kiasi icho. Wenzako wanakwenda game to game malizaneni na hawa vibonde kwanza hayo ya man utd subiri muda ukifika. Ngoja niwaangalie zilipendwa chelsea, bendtner anakosa goli lol no wonder arsene ameship out.
 
Back
Top Bottom