Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Andre wa Fluminense anaenda Fulham kuziba pengo la Palhinha anayeondoka


Arsenal wataongeza watu wawili January Kiungo na Beki


Ile kauli tunaanza Ligi January ina mashiko ,tuombe Mungu tuwe kwenye title race ,hata Kama nafas ya 2 tusiachwe zaidi ya point 3


Leo kwenye Press ya Arteta baadae ,inasemekana atatoa taarifa za majeruhi Partey na Smith Rowe

Kama itakuwa vzr ,Partey awepo kwenye mech ya Dec 23 ,Anfiled ,


Tomiyasu atakuwa nje wiki 4-6 , January akiwa fit anaenda kwenye michuano ya Asian Cup , Partey anaenda AFCON


Ndio maana kipaumbele cha kwanza tutasajili Beki mmoja na kiungo mmoja .
 
Hadi sasa tuna injuries nyingi tu na tunakimbiza
Hivi nyie ndio wa kutustua sisi kweli?
Ama lile kuti kavu pale juu linawapa jeuri mnaona mmemaliza?

Pale hammalizi round 2 mnatoka.


Subirini moto,mmsiyempenda kafika😂
Ukweli mchungu...
Magap ya kipara mliyochezea sindimba mwaka jana akawapokonya tonge mdomoni,sie hatuna msalia mtume 😂
Ww pumzi ya kufukuzana na sisi huna...alichotufanyia kipara mwaka jana ndo mwanzo na mwsho....sisi sio kama nyie kipara alikuwa anawageuza anavyotaka...huwa hatuna utaratibu wa kurudia kosa mara mbili...hzo ni Tabia zenu na kina Manunu na hao wengine
 
| Mikel Arteta will hold his pre-Aston Villa press conference at 9am (UK) today

#AVLARS
20231204_141718.jpg
 
Arteta anapambana Partey awepo kwenye safari ya Dec 23

ile kiungo ya Rice Partey Ødegaard

Utapigwa utake usitake
 
Wawakikishi wa Andre yule mbrazil wapo London ,wanataka kukamilisha usajili wake kwenda Fulham

Ina maana Palhinha ana chance kubwa anasepa


Namuomba Mikel afanye kitu ,hata akimchukua Palhinha,asimuachie January Partey asubiri had summer ambapo Jorginho, Elneny na Partey nadhani wataondoka
 
Ww pumzi ya kufukuzana na sisi huna...alichotufanyia kipara mwaka jana ndo mwanzo na mwsho....sisi sio kama nyie kipara alikuwa anawageuza anavyotaka...huwa hatuna utaratibu wa kurudia kosa mara mbili...hzo ni Tabia zenu na kina Manunu na hao wengine
Liver alipambana na kipara mpaka pumzi ya mwisho, mechi ya mwisho ndio ikaamua mshindi tena kwa tofauti ya point 1.
Nyie Arsenyau mliongoza ligi kwa siku 258, zimebaki mechi 8 ligi kuisha nyie mlikua mbele kwa points 8 dhidi ya City, mechi 1 kabla ligi haijaisha Arsenyau yuko nyuma kwa points 8 dhidi ya City.
Halafu shabiki la Nyau linatembea kifua mbele na kuwacheka liverpool na kutamba kua "sisi sio kama nyie kipara alikua anawageuza anavyotaka" sasa hapo kipara alikua anamgeuza nani anavyotaka?
Screenshot_20231207-193757.jpg
 
Watu Wana underrate Sana eneo la GK , Newcastle kaumia Nick Pope ,wameambiwa watoe £50m wamchukue Ramsdale wanajivutavuta wanataka wavuzie Degea wabure

Sasa kufika February watakuwa wanagombea kucheza conference league na kina Chelsea ,man u
Kwa nini tumuuze kwa 50? Hatukumlipia 30 au zaidi huyu?
 
Kuna mtu alisema jamaa ni security guard by profession...naanza kuona kama kuna kaukweli....itakuwa zamu iliisha siku Manunu alipombutua Chelkenge
Yes professional securty guard nilikua likizo hivyo nikawa sina access ya network, baada ya kurudi lindoni sasa hivi nina access ya 24/7 ya free Wifi hivyo tutakua pamoja sana humu ndugu zangu, kikubwa ninaomba msinichoke tu.
1702024579683.jpg
 
@David_Ornstein on Ramsdale:


“I don’t think Arsenal would allow a loan - only a permanent & that would need to be at a level of fee that gives the proper finances to play with & I’m not aware of any movement on that front yet. Of course, Ramsdale wants & needs to be playing, but I hear, unsurprisingly, that he has been training well & a model pro. Ideally for Arsenal, this would be addressed in the summer.”


[@TheAthleticFC Q&A]
 
Arteta anapambana Partey awepo kwenye safari ya Dec 23

ile kiungo ya Rice Partey Ødegaard

Utapigwa utake usitake
Mzee partey akiwepo itakua ni hatari sana

Arteta anataka atenganishe maji na matuta mapema
 
Wawakikishi wa Andre yule mbrazil wapo London ,wanataka kukamilisha usajili wake kwenda Fulham

Ina maana Palhinha ana chance kubwa anasepa


Namuomba Mikel afanye kitu ,hata akimchukua Palhinha,asimuachie January Partey asubiri had summer ambapo Jorginho, Elneny na Partey nadhani wataondoka
Kwanini elneny anasahaurika katika list ya watu wanaoondoka?
 
Arteta on squad fitness ahead of Aston Villa:

“I think everybody is going to be ok (after Luton Town).”

On Thomas Partey:

“We don’t know - He’s getting a very good evolution in the injury but it’s a bit early to get that time frame.“
 
Yes profession securty guard nilikua likizo hivyo nikawa sina access ya network, baada ya kurudi lindoni sasa hivi nina access ya 24/7 ya free Wifi hivyo tutakua pamoja sana humu ndugu zangu, kikubwa ninaomba msinichoke tu. View attachment 2836305
Na inaonekana ww ni hyo wa mwsho upande wa kushoto...watu wafupi mna pahala penu spesho peponi huko kwa Mwenyezimungu maana mna asili ya ubishi na hasira za haraka...ila ww Mr Flano umepevuka kidogo...una kaubishi na kusema mbovu unajua ila hasira za haraka huna...ubarikiwe mkuu🤠🤠🤠
 
Kama nilivyosema Mikel atatoa taarifa kuhusu Partey kuelekea mechi ya Dec 23

Hii Ni mind game


Arteta on Partey:



We don’t know. He’s getting a very good evolution in the injury. Liverpool would be incredibly fast. We are quite short with five key players not being available.
 
@David_Ornstein on Ramsdale:


“I don’t think Arsenal would allow a loan - only a permanent & that would need to be at a level of fee that gives the proper finances to play with & I’m not aware of any movement on that front yet. Of course, Ramsdale wants & needs to be playing, but I hear, unsurprisingly, that he has been training well & a model pro. Ideally for Arsenal, this would be addressed in the summer.”


[@TheAthleticFC Q&A]
Kuendesha timu ni kazi ngumu sana.
Ukiwa na wachezaji wazuri wengi, wanaokosa namba wanaleta shida na kutaka kuondoka. Ndoto ya kuwa na wachezaji wawili kila namba inakuwa ngumu. Ila pia ukishindwa kuwa na wachezaji angalau wawili kila number, utashindwa kuhimili ushindani.

Nilifurahi kuona tuna makipa wazuri wawili na nilitegemea uwepo wa 'mafahali wawili kwenye zizi moja' lakini sikutegema tutaanza kufikiria kupoteza mmoja wapo chini ya miezi 6 baadae. Je Ramsdale anajiona kama anastahili namba 1 kwa sababu katusaidia kurudi champions league na anatuona hatuna shukrani? Je anaona kama anastahili kucheza mbele ya Raya? Je anatafuta nafasi timu ya taifa so anahitaji gametime?
 
Back
Top Bottom