Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,623
Spurs mwendo wa kusaka ubingwa msimu huu ndio kashaumaliza, ile pumzi ishakata.Huku spurs nao naona wametoka kuongoza 1-0 sasa wako nyuma 2-1 dhidi ya west ham. Bado robo saa. Tuone itakuwaje hapa.
